Roho ya kimasikini inatutesa sana ngozi nyeusi, kwanini?

Roho ya kimasikini inatutesa sana ngozi nyeusi, kwanini?

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Roho yakimasikini ni nini?

Roho yakimasikini niroho ambayo haipendi hau haifurahi pindi mtu akifanikiwa au akiwa na kitu yeye hana. Roho ya umasikini umuhaminisha mtu kuwa bila yeye hakuna kitakacho endelea na yeye ndio yeye hakuna wa haina yake. Mawazo haya finyu na yakimasikini humfanya mtu kuona yeye ndio binadam na wengine sio binadam ila watu tu wakawaida.

Watu wenye hili liroho huwa na chuki na watu au kikundi cha watu fulani kiasi hutamani hata wapotee waangamia Roho yakimasikini niroho yahatari sana hasa ikii.

Nitaendelea.
 
Mkuu TumainiEl hili ni jukwaa la siasa. Sijaona siasa kwenye bandiko lako.

Lkn nahisi uzi wako unaendelea kudadavua lile tamko la yule mshamba anayejenga chuki kwa tabibu kufuata maslahi private.

Mkuu huyo mshamba achana naye. Na kwa anapoelekea anenda kugota
 
Arrogance and bossism are tormenting this imbecile.
 
Inshort, uchawi ulizaliwa hapa kwenye roho mbaya. Ukikuta mtu mwenye roho mbaya lazima ukute anatembea na majalada ya watu waliomzidi uwezo kichwani mwake, anatamani awe mmiliki na mkuu wa kila kitu......

Hata uharabuni Hawa watu wapo
 
Ukitaka kuwafundisha watoto wako ujamaa, waamshe usingizini saa 12 asubuhi wale wawili wakubwa. Wape kazi ya kusafisha choo na bafu kwa makubaliano ya sh 5,000 saa nne asubuhi ukirudi.

Ukirudi saa nne waite wote mezani, wape ujira wa 3,000 wale waliosafisha bafu, na uwaambie kwasababu nyumba yako Ina itikadi za ujamaa, wale waliolala watagawana 2,000.
 
Back
Top Bottom