Ukitaka kuwafundisha watoto wako ujamaa, waamshe usingizini saa 12 asubuhi wale wawili wakubwa. Wape kazi ya kusafisha choo na bafu kwa makubaliano ya sh 5,000 saa nne asubuhi ukirudi.
Ukirudi saa nne waite wote mezani, wape ujira wa 3,000 wale waliosafisha bafu, na uwaambie kwasababu nyumba yako Ina itikadi za ujamaa, wale waliolala watagawana 2,000.