Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 564
LEO NIMEELEWA KWANINI WAHENGA WALITUMIA NENO "ROHO YA KOROSHO" WAKIMAANISHA ROHO MBAYA:-
Korosho INA roho mbaya sana imemuondoa waziri wa kilimo, utafikiri yeye ndiye mkulima wake. Wenzie mahindi na mbaazi wako kimya japo nao soko limedoda, imemwondoa waziri wa viwanda na BIASHARA kwa kushindwa kuitafutia Wateja na viwanda vikubwa vya kuchakata, mahindi na mbaazi hawajafanya hivyo, korosho INA bodi imevunja bodi yote maskini ya Mungu mahindi na mbaazi hawana cha bodi ila wametulia!.
Wee korosho wewe!!!🤔🤔