Wakuu,
Tunatambua kuwa ndege aina ya roketi hukaa katika vinu vya kurukia zikiwa zimetazama kuelekea juu, vichwa vikiwa juu na anapochomoka kwenda anga za mbali huondoka kwa staili hiyo, sasa hizo roketi zinarudije katika vinu au stesheni zao? Kwa sababu ikirudi inabidi ikae vilevile kama mwanzo, yaani inakua wima kichwa kinanyanyuka kwa juu kama awali.
Swali: sasa inarudije kwenye kinu mpaka ikae wima vile au inarudi kinyume nyume kama gari?