Inarudia airport kama ndege za kawaida tu mkuu
ok. sasa inaingiaje tena kwenye kinu chake cha kurukia?
Sio lazima irudi iliporukia,kuna baadhi ya vitu hupotea angani na sio kwamba rocket hurudi yote kamili kama ilivyoruka!
Nimekujibu kwa uelewa wangu.
Hakuna roket inarudi kwenye kinu chake. roket ikiushwa basi ndio hairudi ina tumika mara moja tu. Kuna ya aina moja tu - Space shuttle ya marekani ambayo inaruka kama roket na inauwa kama ndege na inatumka tena
kwa hiyo una maanisha uwa inameguka meguka ikifika angani?
Nisome vizuri mkuu
Nimesema kuna "Baadhi" ya vitu hupotea angani,
Vitu vingine hutumika katika kuipa nguvu ya kuruka tu kutoka kwenye "Station" yake..
Wakuu,
Tunatambua kuwa ndege aina ya roketi hukaa katika vinu vya kurukia zikiwa zimetazama kuelekea juu, vichwa vikiwa juu na anapochomoka kwenda anga za mbali huondoka kwa staili hiyo, sasa hizo roketi zinarudije katika vinu au stesheni zao? Kwa sababu ikirudi inabidi ikae vilevile kama mwanzo, yaani inakua wima kichwa kinanyanyuka kwa juu kama awali.
Swali: sasa inarudije kwenye kinu mpaka ikae wima vile au inarudi kinyume nyume kama gari?
Sio lazima irudi iliporukia,kuna baadhi ya vitu hupotea angani na sio kwamba rocket hurudi yote kamili kama ilivyoruka!
Nimekujibu kwa uelewa wangu.
Wakuu,
Tunatambua kuwa ndege aina ya roketi hukaa katika vinu vya kurukia zikiwa zimetazama kuelekea juu, vichwa vikiwa juu na anapochomoka kwenda anga za mbali huondoka kwa staili hiyo, sasa hizo roketi zinarudije katika vinu au stesheni zao? Kwa sababu ikirudi inabidi ikae vilevile kama mwanzo, yaani inakua wima kichwa kinanyanyuka kwa juu kama awali.
Swali: sasa inarudije kwenye kinu mpaka ikae wima vile au inarudi kinyume nyume kama gari?
Mbona unaogopa maswali!!? Kkkkkkkkkk
taja kitu kimojawapo ambacho upotea angani
Hahahaaa!! Mkuu salama?
Rocket ikiruka hairudi tena inachanguka na kurudi kama ndege ya kawaida mabaki yana baki kwenye Space na kupotea humo humo hakuna rocket inayorudi wanatudi wana anga na ndge iliyowekwa pembeni ya rocket kazibya rocket ni kukufikisha tu na si kukurudisha kama ikitokea kurudi ni bomu sehemu itakayotua
ila we maswali yako bwana...