Roketi inarudije katika kinu chake? Je, inarudi kinyunyume au?

rocket ndio nini au ambazo hua zinapita huku zinaacha moshi angani je hua zinapita vipi kwenye anga za mataifa mbalimbali bila ruksa na mbona sijawahi kuona milipuko yoyote

hoja nzuri sana eti zinapitaje anga nyingine pasipo ruksa? wakizitungua je?
 
Kama ni simple question, why not answer him na mada ikaisha. Na wale mnaosema Google inamaliza kila kitu mpo sawa, lakini kama kuna option ya kufundishwa kwa urahisi kupitia JF kwa nini kutumia njia ndefu ya ku-google na kuanza kuchagua cha kusoma?

Google itakupa mwongozo wapi utapata maelezo kwa upana zaidi tena na facts. Sio kila simple question uje kuuliza JF na kama unataka hapa iwe sehemu ya umbeya au utukuyu hiyo ni juu yako
 
rocket ndio nini au ambazo hua zinapita huku zinaacha moshi angani je hua zinapita vipi kwenye anga za mataifa mbalimbali bila ruksa na mbona sijawahi kuona milipuko yoyote

hoja nzuri sana eti zinapitaje anga nyingine pasipo ruksa? wakizitungua je?

Mkuu ile unayoina ikipita juu sana bila muungurumo ikiacha mchirizi kama moshi nyuma ni ndege za kawaida kabisa. Zamani tulikuwa tukiziita rocket. Ukweli ni ndege ya kawaida. ule unaona kama moshi C moshi bali ni joto linalotoka kwenye xzost ya ndege na kuyeyusha hewa yenye ubaridi huko angani.

Kutosokia kwako muungurumo wa ndege hii ni kwa sababu ndege inapita mbali sana kiasi ambacho masikio yako yanashindwa kusense.
 

hatari sana.

Muingereza aliongoza Soyuzi?

Soyuzi zote zinaendeshwa na Warusi.

na hakuna safari ya kwenda ISS ambayo dereva si Mrusi.

Na huyo aliyeendesha juzi kwa uzoefu wa kuendesha Soyuz ni wa saba.

Huyo Muingereza ndio mtu wa kwanza wa Uingereza kwenda ISS. alikuwa nakodoa tu macho na kila kitu kwake kilikuaa kipya.
 

embu chimbua vzuri hapa
 
Murusi,

Hii picha siyo Rocket ya NASA. Hawa ni Warusi na kama ulivyoweka picha nyingine ikionyesha SOYUZ rocket, hata picha unaona kabisa ni hizohizo za Warusi.

Warusi wanaziunda Rocket zao ndani ya Russia na baadaye wanazisafirisha kwa Train hadi nchi ya jirani ya Kazakhstan na huko ndiyo ipo sehemu ya kuzirushia hadi tangu enzi ya akina GAGARIN hadi leo.

Hilo ni Gari likwa limebeba NASA likiipeleka kwenye kituo chake cha kurukia. Ukweli ni kwamba kuna magari special ya kuibeba roketi hizo pindi zinapo rudi toka anga za juu


Yes, hizo Gari ndiyo inasemekana gari lenye nguvu kuzidi yote duniani. Hilo lote huwa lipo ndani ya hili jumba chini kwenye picha ambapo Rocket zote huwa zinaungwa hapo na vifaa vinavyotakiwa kubebwa na baadaye kupachikwa kwenye hilo gari na kupelekwa kwenda kurushwa. Ni umbali mfupi sana ukilinganisha na Warusi kwani ni kama ndani ya hilo eneo moja la NASA. Ukiwa point moja unaona point nyingine.

 
Mkuu,
I hate you for this (in Positive way).
Nilikuwa mtu napenda sana kufuatilia hizi habari za anga. Nilishaangalia film nyingi sana na kusoma habari za mambo ya vyombo vinavyokwenda angani. Ilikuwa ndito yangu kubwa kuona hiyo Shuttle ikirushwa angani.
Niliishia kuangalia film na kuangalia kwenye Google Earth eneo lilivyo. Huna ninafika hatua najisikia nikifa Kazakhstan na Florida wanaporushia hayo madude, basi ntakuwa kama vile nimeshafika hapo tayari.

Ila kwa Warusi, kuna story zinadai kuwa Yuri Gagarin hakuwa mtu wa kwanza kwenda angani. Wa kwanza au watu wa awali walikufa na Warusi wakakaa kimya. Gagarin aliporudi salama ndiyo wakamtangaza kuwa ni mtu kwa kwanza kwenda nje ya anga la dunia na kurudi salama duniani.



Mitaa ya West Europe. Mmoja ni UK na mwingine ni GERMAN.

 
Google! Nenda NASA website kuna live view unaweza kuuliza swali. Rocket inakuwa na stegi kama tatu za kuruka. Kipande cha kwanza huungua na kuiachia, kinachofuata huungua baada ya re entry ndo inabaki chombo kinachokwenda kwenye space kama kile kilichowafikisha wanaanga juzi kwenye space station kilichotengenezwa na warusi (soyuz) na space shuttle ya NASA ambayo imepumzishwa. Space shuttle hurudi kama ndege ya kawaida na hutua kwenye uwanja wake special lakini soyuz hudondoka baharini na kuelea.

Rocket hutumika kurusha vitu kama setelite kwenye anga na huungua na kupotea angani kama walivyosema watangulizi wangu.
 

Mpwa Bange Unayokula Sio Nzuri Kabisa Aisee
 
Mkuu tafuta muvi inaitwa armageddon ya bruce wills na ben afleck utaona kila kitu kuhusu hayo mambo.....
 

Sasa nmejua kwa nn dr mwaka alikuwa dr bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzaz wakat kasoma mwaka 1 badala ya miaka 9
 
rocket ndio nini au ambazo hua zinapita huku zinaacha moshi angani je hua zinapita vipi kwenye anga za mataifa mbalimbali bila ruksa na mbona sijawahi kuona milipuko yoyote

Mkuu umeniwah nlitaka kuuliza nmeona watu wanatema shule nikaogopa
 
inarudi unasikia ndumbwiiiii kwikwikwikwi
 

Ahsante mkuu m nlijua rockets na wadogo zangu nmewambia kaz ni kwabadilisha maana wslishaniamin kaka yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…