Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,123
- 2,449
Role Models ni moja kati ya vitu
muhumi sana katika kuelekea
kwenye Kutimiza ndoto au malengo
Uliyojiwekea.
Role Model ni Mtu ambae anaku'inspire na unamwangalia kama mfano kutokana na kile kitu anachokifanya.
Leo hii Martin Luther King Jr,Che Guevara,Malcom X ni ma'role model wa wanaharakati wengi sana hapa Duniani.pia Kina Johan Cryuff,Leo Messi,Cristiano Ronaldo,Maradona,Pele ni Role models wa vijana wengi sana ambao wanacheza mpira wa miguu.
Jux role wake ni Trey Songz,Mwana FA role model wake ni T.I nk.
Kwangu mimi ki'career wise
nawaangalia na kuwafuatilia
sana hawa watu,Ibrahim Jamil Darden'Ebro the Old man' na Nicholas Scott Cannon'Nick Cannon'.
Ebro huyu Dingilii alizaliwa tarehe March 17 mwaka 1975,na alianzia mbishe zake za Utangazaji mwaka 1990 kwenye redio moja hivi inaitwa KSFM,Mjuba alikua ni makamu wa rais wa Vipindi wa Emmis communications ambayo sasa hivi ni(WQHT)..Kwa sasa anaendesha show yake ya Beat 1 kwenye radio station ambayo inapatikana online kwenye Apple inc.na iTunes,pia ni Co-host kipindi cha asubuhi pale Hot 97"Ebro in the Morning"akiwa na Laura Stylez na Baharia Peter Rosenberg..Ebro namkubaligi sana the way anavyo'treat story pamoja na kufanya research ya kutosha juu ya mgeni ambae atakua nae kwa Interview,Niccah have Packaging,Good selection of words and other stuffs like that,na hanaga papara yaani hutulia sana kwenye interview.
Nick Cannon,Huyu chalii kazaliwa October 8 mwaka 1980,kikubwa zaidi nachomkubali mwana ni Multi Talented coz ni Radio&TV Presenter,Director,Producer,Activist,Actor na anafanya yechu sana movie kama A day of death,Love dont cost a thing,Drumline,Roll Bounce nk.Pia ni Rapper na album yake ya kwanza ilitoka 2003 iliyoitwa Gigolo ambapo humo alimshirikisha pia Baharia R-Kelly,Kingine zaidi Chaliloo ni Comedian mzuri kinyama,na hapa ndo anazidi kuni'inspire zaidi,mwaka 2005 alitengeneza na kuki'host kipindi cha TV cha MTV improv Comedy series kilichoitwa"Wild N'Out"ambacho rappers wa Marekani walikua wanakuja na Crews zao then wanaanza ku'battle nae,kilipendwa sana iki kipindi was massive meen!!,pia alisha'host Lip Sync battle shorties,The Masked Singer nk.Mwaka 2009-2016 alikua ana'host America's Got Talent,kuanzia 2010 alikua ana'host kipindi cha redio cha asubuhi kuanzia saa12-4 ndani ya 92,3 WXRK FM,lakini pia anasimamia kipindi chake cha "Cannon's Countdown,Kwa sasa ana show yake pale power 106 inayoitwa'Nick Cannon Morning',,Nick Cannon nakubaligi sana Ucheshi wake anavoendesha pindi,Uniqueness,na Consistency ya Brand yake,Aliwahi pia kuwa mume wa Mariah Carey mwaka 2008 lakini mwaka 2014 walitalikiana.I really Appriciate him,Such my role model...Unaruhusiwa Kujifunza kutoka kwa watu wengine lakini sio Kujiringanisha nao.
@NgarenaroBoy.