Role of the Husband in the Bible

tzjamani

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
995
Reaction score
31
Role of the Husband in the Bible
"But if any man does not provide for his own, and especially for those of his household, he has denied the faith and is worse than an unbeliever. " 1 Timothy 5:8​
"But I want you to understand that Christ is the head of every man, and the man is the head of a woman, and God is the head of Christ. " 1 Cor 11:3​
"Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her, " Ephesians 5:25​
"Husbands, love your wives and do not be embittered against them. " Col 3:19



Read more...........
Role of the Husband in the Bible
 

This is indeed very good, Thanks TzJamani
 

Then the role of the husband= love your wife with the love of jesus + provide all needs to your wife and children.
 
vidume mnatoa macho tu hata roles zenu hamjui,....
kilichbaki sasa ni kuomba wa dada wawahudumie tu.......serengeti boys wani wananichefua mie:redfaces:
 
Wamama wa leo hawako tayari kukubali huo ukweli! They want equality kwenye kila nyanja! May Holy Spirit remind them to what they deserve!
 
lovely!...bahati mbaya wengi sio washika dini,ukimpata god-fearing man hayo unayoyasema atayazingatia...ila ni wachache mno....:teeth:
 
vidume mnatoa macho tu hata roles zenu hamjui,....
kilichbaki sasa ni kuomba wa dada wawahudumie tu.......serengeti boys wani wananichefua mie:redfaces:

lovely!...bahati mbaya wengi sio washika dini,ukimpata god-fearing man hayo unayoyasema atayazingatia...ila ni wachache mno....:teeth:




Hebu jaribuni na kusoma kitabu cha Isaya.4. Nako kuna ujumbe mzuri kweli.

 
Tumuombe Mungu sana atutie nguvu. Hatuna hofu ya Mungu si wanawake wala wanaume. Wanaume wanasingiziwa kila kitu ila wanawake ni wabaya zaidi. We will never be men nikisema hivi wanawake watakuja juu ila ndiyo ukweli wenyewe. wanawake tunashindana na waume zetu majumbani hata bila aibu.

Wanawake tulizeni mzuka, mhshimu mumeo, muombee mumeo awe of your choice na wewe vile uwe mke mwema siyo one way traffic.
 
Mmmh kuisema tu mdomoni na kuiandika ni rahisi, lakini kuiweka kwene matendo yahitajika neema ya Mungu zaidi. Si kwa nguvu wala uwezo bali ni kwa roho wa Mungu. Hayo yote yanawezekana kama tutamtegemea na kumtumaini Mungu ktk mambo yote. Happy new year all.
 



Mh,posted via mobile,uko wapi leo?
 
Wamama wa leo hawako tayari kukubali huo ukweli! They want equality kwenye kila nyanja! May Holy Spirit remind them to what they deserve!

all roles were and are natural and should remain natural. both equality and lack of equality in everything is impossible. what we need to do is to remain pure in our hearts and play our respective roles safely with love, kindness and self control, just to mention a few. the law should only be approached in ungodly manner of conduct and in hostile situations just to protect humanity in case of injustice and threats to life, freedom, esteem and one's self actualization
 
Binadamu amepevuka na uelewa wa mambo ya haki na usawa wa jinsia kuzidi Mungu, ambae mpaka leo kitabu chake kinafundisha fikra mgando za Mfumo Dume wa mwaka 1947.

Mungu gani huyo?
 
Binadamu amepevuka na uelewa wa mambo ya haki na usawa wa jinsia kuzidi Mungu, ambae mpaka leo kitabu chake kinafundisha fikra mgando za Mfumo Dume wa mwaka 1947.

Mungu gani huyo?

Vipi wewe upo upande gani, freemason?
 



Watu wangekua wanaweka post kama hizi siku zote JF ingekua more and more constructive.
tzjamani nakushukuru sana.
 
Vipi wewe upo upande gani, freemason?
si lazima kuwa na upande

ni vema zaidi ukafikiria vitu mwenyewe kwanza na kuvielewa kabla ya kukumbatia imani za makundi uliyoyakuta duniani. Kama havieleweki, unaweza kuwa na mtazamo wako mwenyewe nje ya makundi. Kwa mtazamo wangu, nadharia ya uungu haiingii akilini.

Mungu anazidiwa na binadamu katika uelewa wa mambo ya usawa wa jinsia, Mungu gani huyo?
 


Ni mungu yuleyule aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo,akamuumba mwanadamu na kumpa akili ili avitawale vyote, na akamkataza mwanadamu kutenda dhambi na mwanadamu kwa akili yake akatenda dhambi.Ni mungu yule yule aliyemwambia mwanadamu kuwa kwa jasho lako utakula na akamwambia mwanamke kuwa utazaa kwa uchungu.Na mwanadamu kwa akili aliyopewa na Mungu wake sasa anajifananisha na Mungu na kukosoa kazi ya uumbaji pamoja na yale aliyeagiza Mungu huyo ambaye leo hii unaulizia ni Mungu gani huyo.Kama unasema Mungu anazidiwa akili na binadamu katika maswala ya jinsia naomba tu kukuuliza,ni mwanadamu gani aliyeweza kumfanya mwanamke akazalisha mbegu za uzazi na kurutubisha yai la mwanamke mwenzie,na ni mwanadamu gani aliyewahi kumfanya mwanaume akabeba mimba na kujifungua mtoto?Tukubali tu kuwa tumepewa majukumu tofauti na muumba wetu ili tushirikiane katika maisha lakini hatuwezi kuwa sawa hata siku moja.Na nakuombea kwa bwana Mungu akubariki ili uweze kumtafuta na kumtambua.
 

Aiseee! kumbe tuna wainjilisti humu ee, unaweza ukajikuta unaomba kuongozwa sala ya toba hivi hivi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…