Roll ya wire mesh kama hii inauzwaje na je ina ukubwa gani?

Roll ya wire mesh kama hii inauzwaje na je ina ukubwa gani?

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Wadau nataka kuweka uzio kwa kutumia waya hizi ,je bei yake kwa roll zima ni kiasi gani na hiyo roll moja urefu wake ni meter ngapi?
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    4.4 KB · Views: 276
Roll moja wastani 75 hadi 85,000/- zisizo kuwa coated na plastic.Zenye plastic coat ni 95,000 hadi 100,000/- urefu 13m. Kama upo Dar nenda Gerezani kuna wakala wa viwanda.
 
Wadau nataka kuweka uzio kwa kutumia waya hizi ,je bei yake kwa roll zima ni kiasi gani na hiyo roll moja urefu wake ni meter ngapi?
Inategemea ya 3mm unene ni sh 85000 bei ya jumla naya 2.5mm ni 75000 naya 2mm ni 68000.hizo ni bei z kiwandani ila reja reja 3mm ni 110 na 2.5 95 na 2mm 75000
 
Back
Top Bottom