Tuanze na vitu anavyovaa diamond kuanzia Saa, vito vya thamani na nguo anazovaa.Kumekuwa na mjadala mrefu kuhusu gari aliyonunua star wetu wa muziki wa bongo flavor Diamond platnamuz. Wengine wakisema eti gari hilo sio halisi ni fake, na wengine wakidai ni original. Aina ya gari ni Rolls Royce cullinan. Kwa mwenye uelewa na haya magari tusaidie. Fake yanakuwaje, na orjino yanakuwaje.
Kamtoa nishai hata mo dewji aliyeshindwa inunua kisa simba yafanya vibaya afrika. Nakumbuka mo dewji aliandika ameahirisha kununua rolls royse baada ya kile kichapo cha sauzi..Kumekuwa na mjadala mrefu kuhusu gari aliyonunua star wetu wa muziki wa bongo flavor Diamond platnamuz. Wengine wakisema eti gari hilo sio halisi ni fake, na wengine wakidai ni original. Aina ya gari ni Rolls Royce cullinan. Kwa mwenye uelewa na haya magari tusaidie. Fake yanakuwaje, na orjino yanakuwaje.
Ila jamaa alisema yeye ni kama maji hakwepeki, hata akitema mate pale mnara wa askari itakua topic.Kikao cha kamati ya Roho mbaya.
$382k ni sawa na Tshs.878,600,000 kwa rate ya sasa!Diamond amedanganya Bei tuView attachment 1854318
Yani tuna chuki za kishamba kwenye mambo hata ya wazi kabisa! Rollce Royce ni gari ambayo inatengenezwa UK sasa kwa brand yenye heritage kama hio how can they fake kwanza production ya mwaka mzima inakuwa on a specific number of vehicles!Masikini wako bize kuwaombea wanaopbana na kufanikiwa wafeli wawe kama wao..
Wangekua wanajaribu kujifunza jamaa anatoboa vipi ingekua poa sana.Yani tuna chuki za kishamba kwenye mambo hata ya wazi kabisa! Rollce Royce ni gari ambayo inatengenezwa UK sasa kwa brand yenye heritage kama hio how can they fake kwanza production ya mwaka mzima inakuwa on a specific number of vehicles!
Watu wengine ndio kwanza wameiona Rolce Royce jana π hata walikuwa hawajuagi kama kuna gari kama ile!
Hahahahha labda ndio maana hawaachiWengine inabidi tuwaelewe tu kuwa mond anawaweka hewani, wanasafiria nyota ya mond hivyo kila afanyacho lazima nao watumie fursa ya kwenda na huo upepo, wanalisha familia kwa kuwa haters..
Acha wivu mwanaume chapa kazi sanaDiamond amedanganya Bei tuView attachment 1854318