Rolls Royce ya Diamond ni fake au Real?

Acha wivu mwanaume chapa kazi sana

Hiyo bei mliemda naye dukani? We unangalia bei ya google whilewemzako sokon
Sijamuonea wivu, RR hawatengezi gari na kuzianika juani, gari zao zote ni customized by client, unatoa order na unasema iwe na vitu gani ndipo unaundiwa gari ya ndoto yako, kwa hiyo hamna kitu kinaitwa Bei ya Google wala ya sokoni.
Big up mvulana wa Tandale
 
Unadhani hawajui? Yani inabidi ifike muda watu wakubali tu kuwa kijana kapiga hatua na ana pesa. Huyo anayewalisha matango pori kajishtukia hadi kafuta post zake, ninamaanisha Mange
 
Unadhani hawajui? Yani inabidi ifike muda watu wakubali tu kuwa kijana kapiga hatua na ana pesa. Huyo anayewalisha matango pori kajishtukia hadi kafuta post zake, ninamaanisha Mange
Mange hawezi kuwa na hoja kwenye hili maana gari ingekuwa Used wangeanzia hapo sasa gari ni latest edition tena ile black ambayo ni ghali zaidi! 😂😂😂 Wamepoteana mazima
 
Mange hawezi kuwa na hoja kwenye hili maana gari ingekuwa Used wangeanzia hapo sasa gari ni latest edition tena ile black ambayo ni ghali zaidi! 😂😂😂 Wamepoteana mazima
Yani kawafunga midomo eanateseka sana. Halafu watu wanavyomuaminia yani wanadhani kuishi marekani ndiyo anajua kila kitu mpaka mambo ya magari.

Kupingana na ukweli kuwa kijana ana ela ni chuki na kujiumiza nafsi. Ile escalade ikafika kipindi baada ya kusema ni used ikaanza kuwa kainunua kusaga, sasa hii imekuwa fake.

Haters wanataka kujifariji kwa kusikia walau neno fake wahisi walau jamaa kumbe hawezi. Jamaa siyo level zetu sisi tuendelee kushindana na IST used toka Japan ambazo tunatamba kuwa ni brand new
 
Ninavimba mtaa mzima na wake za wasio na magari wananijua.
Sijui kwanini watanzania tuna tendency ya kuchukia waliopiga hatua.
Roho mbaya na kuona tu kwamba hutafika level ile kwa uwezo wako chuki inakufanya ujiskie relief flani😂😂😂
 
Roho mbaya na kuona tu kwamba hutafika level ile kwa uwezo wako chuki inakufanya ujiskie relief flani😂😂😂
Unajua bora uwe na chuki ya mtu unayeweza kushindana naye sasa mzee mtu anatumia more than a bilion and half kunua gari, wakati ukiwaza hiyo ela ungeipata ungewekeza kwenye kila dream uliyo nayo nawe ukajihisi tajiri kabisa halafu bado umuonee chuki.

Angekuwa ni mwarabu au mhindi wasingesema ni fake
 
Picha. Wanatushinda watu wa facebook!!?
 
Mie najiuliza sawa fake haya wewe Mtanzania wa kawaida hlo fake la kwako liko wapi sasa?
 
Hiyo RR Cullinan ni real, hata kma sio zero kilomita who cares. Ni waTanzania wangapi tuna uwezo wa kununja gari ya 1B+, acheni mdau ale utamu wa jasho lake mim mtu wa kawaida tena kijana nafurahi kuona mnugu anasukuma chuma kizito.
 
Kamtoa nishai hata mo dewji aliyeshindwa inunua kisa simba yafanya vibaya afrika. Nakumbuka mo dewji aliandika ameahirisha kununua rolls royse baada ya kile kichapo cha sauzi..
aisee nimekuona una akili za kitoto sana. kila tajiri ana priority zake. si kila mtu atataka mshindane kununua magari ya gharama.

focus ya mo dewji nintofauti na focus ya diamond. hawawezi kuwaza sawa.

kwa hiyo hapo concept kuwa diamond amemtoa mo dewji nishai.. its so irrelevant..
 
jibu la swali lako ni umaskin ulio kubuhu. umaskin huwa unajaza watu roho mbaya kiasi kwamba hawataki kuona watu wamefanikiwa.
 
Ite
Irrelevant kwako mtaani inajulikana kuwa kamtoa nishai...
 
Auto trader watu wanauza hizo Rolls.

Hela yako tu.
 
Muda sio mrefu nimeingia kwenye account ya YouTube ya jamaa mmoja anaitwa "FRANK HOLLAND AUTOMOTIVE" nimeona gari kama ile ile ya diamond, Rolls Royce cullinan, rangi ile ile na badge ile ile.

Huyu jamaa ni official dealer wa Rolls Royce na anatambulika,yupo nchini Canada,ingia kwenye hii link


Hapo ndio nimeamini kuwa wabongo wameshikiliwa akili zao na Mange kimambi.Roho ya wivu wa kina Mwijaku h-baba na Mange kimambi imeshawaambukiza watanzania wengi na wao wakaamini kuwa Diamond hawezi kuwa na kitu ambacho wasanii wakubwa kama Davido n.k wanacho.

Hizi picha nime screen shot kwenye video inayoonesha moja ya magari yaliyopo kwenye yard ya Frank Holland,moja wapo ndio hiyo Rolls-Royce cullinan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…