Roma Amshilikisha Dr. Luis Shika Kwenye Nyimbo Yake Mpya
Ebwana ndio Hivi Shika akiendelea kuwashika kweli Dada Zetu
Hii Nyimbo Ni Mpywa
Duh!Mtoa mada rekebisha title ya huu uzi..iyo nyimbo sio ya Roma,ni ya Rostam (Roma na Stamina)
Mi sijui kwa nini, namuona kama yupo ktk mission flani hivi targeted!Ila wajue wanacheza na kichwa chenye degree tatu za medicine, tena za Rudn univerity.
Si mchezo.
Huyu jamaa disha halijayumba. Ila kuna uwenzekano anahitaji wanasaikolojia ama .
Nasubiria siku utakayopost Uko nae...!Dr siku hizi mjini anaitwa babe si babu😀
Nina ndoa ya Roma na Aspirin mkuu. Dr Shika itabidi awe shemejiNasubiria siku utakayopost Uko nae...!
Sio nyimbo ni wimboMtoa mada rekebisha title ya huu uzi..iyo nyimbo sio ya Roma,ni ya Rostam (Roma na Stamina)
Sio nyimbo ni wimbo