Roma atoa matusi jukwaani, mabaunsa wamshusha mke wake alia

Roma atoa matusi jukwaani, mabaunsa wamshusha mke wake alia

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Msanii Roma alishushwa jukwaani huko Morogoro baada ya kutuhumiwa kutoa matusi juwaani, Roma anadai hakutoa matusi ila alikaribishwa kuimba ila akaimba akaboa watu na ndio maana walimshusha
Amedai mke wake aliyekuwa ameambatana nae kwenye show hiyo alilia sana kufuatia tukio hilo
 
Bila shaka alitumia ile kitu kutoka kwa reggae boys
 
Back
Top Bottom