Msanii Roma alishushwa jukwaani huko Morogoro baada ya kutuhumiwa kutoa matusi juwaani, Roma anadai hakutoa matusi ila alikaribishwa kuimba ila akaimba akaboa watu na ndio maana walimshusha
Amedai mke wake aliyekuwa ameambatana nae kwenye show hiyo alilia sana kufuatia tukio hilo