ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Ndo hao mkuu sema wako wengi!bongo muvi anao wasema roma si ndio hao akina wema sepetu na lulu?
Roma darasa na stamina ni washkaji shida na raha sasa atamuoneaje wivu mwanaume mwenzakeNaona Roma anamuonea wivu Darasa
Hapo ndio atachafua nyota hapo.Asafishe nyota kwa Sepenga..
Ivi bongo movie ni ya india au maana kumbukumbu zishanipotea