PreGE2025 Roma awashauri wanaohama CHADEMA waanzishe vyama vipya na sio kuhamia vilivyopo kwa sababu walishawahi kuvikosoa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
"Binafsi ningeshauri hawa wanaohama CDM, wasitafute jukwaa lingine lolote lile lililopo kufanya siasa zao.

Kwa maana wasiingie chama kingine cha siasa kati ya vilivyopo!! Kwa sababu walishawahi kuvi-point madhaifu yao na kukiri havifai!!

Badala yake kama wana interest bado na siasa, waanzishe vyama vyao wasajili watumie hilo jukwaa.Kama walikubali sera za CDM lakini wakatofautiana eneo moja NRNE!!

Waanzishe CDM -B yao, mpinzani wao mkuu awe Chama tawala tu na sio CDM - A" Roma Mkatoliki-Msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…