Roma bado unahitaji kwenda Zimbabwe? niko tayari kugharamia cost za safari yako.

cacacuona

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
655
Reaction score
776
Kwa wanaomfahamu Roma mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakati mzuri saana nitagharamia cost zote isipokuwa za kurudi tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
 
Kwa wanaomfahamu Roma ..mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakat mzur saana...nitagharamia cost zote isipokuwa za kurud tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
Nafikiria safari yke bado ipo tna kwa kilichotokea Zimbabwe safari yke ndio imekuwa muhimu sna maana ndio tunapoelekea Tanzania kwa speed kali sna ndio madhara ya kuendesha nchi km shamba lako...
 
Kwani Zimbabwe kuna shida gani... huyo mkuu wa jeshi mwenyewe yuko anafanya mazungumzo... Anapiga stori Ikulu, hana madhara, mwanajeshi gani mzembe...
 
Kwa wanaomfahamu Roma ..mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakat mzur saana...nitagharamia cost zote isipokuwa za kurud tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
Una uandishi mchafu.
Jifunze.
Ona pia,
Elimika.

Mimi mbona nipo jirani na nyumba ya Morgan Richard Tsvangirai...hali ni shwari kabisa.
 
Kwa wanaomfahamu Roma ..mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakat mzur saana...nitagharamia cost zote isipokuwa za kurud tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
huoni kama roma kaleta mapinduzi huko zimbabwe?
 
Kwa wanaomfahamu Roma ..mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakat mzur saana...nitagharamia cost zote isipokuwa za kurud tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
Ni Katoliki hivyo ni Mkatoliki
 
Mkuu haujaelewa mantiki ya roma kwenda Zimbabwe, ngoja nikuelimishe.

Roma alimaanisha nchi yetu Kwasasa inaelekea Zimbabwe in term of kiutawala na kiuchumi.
 
Sidhani kama hili hata analifahamu huyu.
 
Back
Top Bottom