[emoji23] [emoji23] [emoji23]bora Zimbabwe adui anajulikana!!
Nafikiria safari yke bado ipo tna kwa kilichotokea Zimbabwe safari yke ndio imekuwa muhimu sna maana ndio tunapoelekea Tanzania kwa speed kali sna ndio madhara ya kuendesha nchi km shamba lako...Kwa wanaomfahamu Roma ..mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakat mzur saana...nitagharamia cost zote isipokuwa za kurud tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
Kama hamkujua fasihi ya Roma "Nakwenda Zimbabwe", ni umbumbu wenu mnataka tuwasaidie nini sisi!!?unawatafuta ufipa eeh
Una uandishi mchafu.Kwa wanaomfahamu Roma ..mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakat mzur saana...nitagharamia cost zote isipokuwa za kurud tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
huoni kama roma kaleta mapinduzi huko zimbabwe?Kwa wanaomfahamu Roma ..mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakat mzur saana...nitagharamia cost zote isipokuwa za kurud tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
Ni Katoliki hivyo ni MkatolikiKwa wanaomfahamu Roma ..mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakat mzur saana...nitagharamia cost zote isipokuwa za kurud tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama unapapenda Zimbabwe nenda wakat ndio huu
Sidhani kama hili hata analifahamu huyu.Mkuu haujaelewa mantiki ya roma kwenda Zimbabwe, ngoja nikuelimishe.
Roma alimaanisha nchi yetu Kwasasa inaelekea Zimbabwe in term of kiutawala na kiuchumi.
Bora umemuelewesha....Mkuu haujaelewa mantiki ya roma kwenda Zimbabwe, ngoja nikuelimishe.
Roma alimaanisha nchi yetu Kwasasa inaelekea Zimbabwe in term of kiutawala na kiuchumi.
mkuu mbona povuKama hamkujua fasihi ya Roma "Nakwenda Zimbabwe", ni umbumbu wenu mnataka tuwasaidie nini sisi!!?