Roma Mkatoliki abariki wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM. Kwa sababu yanawanufaisha.

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Ameandika kwenye ukurasa wake wa X.

"Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!

Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!

Show moja ya CC EM msanii analipwa 5M hadi 15M, na huyo ni msanii wa kawaida kabisa!!

Wale A list, show moja wanakunja 25M
mpaka 50M na kuendelea!!

Unawezaje kukataa biashara kama hiyo, tena kwa kwenda kuimba dakika 2 tu hadi 10!! Unalipiwa accommodation plus transport tena na per DM unapewa!!

Hata ungekuwa wewe ungekataa?🤔
Tuwe tu wakweli….Wangapi mngekataa?

Huu ni ukweli mchungu ambao wengi humu hawapendi kuusikia!! Na nimekuwa nikiusema sana for years….. Wapinzani hawatoi mchele 💴 ndomana wasanii hawaji huku!!

Huku ni KUNJA NGUMI….
Tusonge mbele MAKAMANDA…
Since 2010 hizo ndio kauli zao!!😔

Unadhani upinzani hawana pesa?

Sio kweli wanazo sana….si wanalipwa Ruzuku Billions per year!!

Basi tu wasanii sio priority kwao!

Na kama sio priority sasa kwanini wanawalaumu wakienda upande ule?

Ujue sisi mnatuona tuna support upinzani ni kwasababu tu tuna PASSION na hii kitu,
We are born to do this!!

Mimi & Kala Jeremiah tuliwahi kufanya show za upinzani tunapewa tu hela ya mafuta laki 1 tunaambiwa Safari njema KAMANDA, no Accomodation!!

So inabidi upige iende irudi hiyo….Trip shamba Trip garage….Famasiala nini!!😁

Tuko njiani tunawapigia simu wenzetu walioko upande ule sasa CC EM
wanatuonyesha wanalipwa 5M show moja!!

Kampeni zinaisha upande ule wenzetu wote wana gari mpya, kiwanja na wengine wamejenga!!

Sisi tunamaliza kampeni ***** tuko teee….tumechoka vipi!!
Hatuna hata pesa ya luku home!!

Na ukiwapigia simu hao wapinzani kuwaomba hata pesa za kushoot video mpya uendelee kuwepo kwenye ramani HAWAOKOTI KONGA!!

Haya mambo ndomana yalimshinda Kala Jeremiah akabwaga….na ndomana watu wakimsemaga huwa naruka nao kimlalomlalo Coz I know what we went through with my boy!!

Wengine tumebakia basi tu tuna SOLID HEART….tushaumizwa tushateswa na kutiwa vilema ila tupo tu mpaka watuue😁

Hakuna maslahi yoyote tunayopata, ila kule wenzetu wanafanya maisha 🏠 🚘 💴

Na siku tukifa maskini ndio nyie nyie mtatucheka na kutukebehi!!

Tukidata kwa depression tukawa mateja ndio nyie nyie mtatudhihaki!!

Acheni madogo waimbie TAWALA wapige hela walee familia zao!!

Upinzani hela wanazo sema wameamua tu na hawajali!!

Basi kama hamjali msiwaseme wasanii wale!!

Endeleeni kimya kimya na sisi tulioamua kuchagua kufa maskini!! ❤️"

#RomaMkatoliki2025
 
Duh aiseee
20250119_200144.jpg
 
Mwambieni amsalimie Mange Kimambi. Wasiwe na wasiwasi hata Oscar Kambona alikomaa hivyo hivyo
 
Angemalizia kwa kusema mbowe hafai
Kwa maana ndiye anakula ruzuku
 
Angemalizia kwa kusema mbowe hafai
Kwa maana ndiye anakula ruzuku

Umeniwahi kulitaja Hilo, tuna michango ya hiari kutoka kwetu choka mbaya na wale wenye nacho, kuna ruzuku toka Serikali na kuna Pesa ya Abdul zote hizo zishindwe kumlipa msanii hata M3? zote wale wao na hawala zao bila kujali wapambanaji hata kwa vocha ya simu? Tumshukuru TAL kwa kulisanua jambo hili na kututoa kwenye UNYUMBU waliotuzoesha
 
Sultan mbowe bin King'ang'anizi anang'ang'ania madaraka ili aendelee kulamba ruzuku watu wamemshtukia ni mtu wa dili kwenye uchaguzi mawakala wa chadema hawana hata posho ya buku 5 kwaajili ya msosi inabidi wagongee msosi kwa mawakala wa Ccm wanaopiga vyuku wa kumwaga
 
Umeniwahi kulitaja Hilo, tuna michango ya hiari kutoka kwetu choka mbaya na wale wenye nacho, kuna ruzuku toka Serikali na kuna Pesa ya Abdul zote hizo zishindwe kumlipa msanii hata M3? zote wale wao na hawala zao bila kujali wapambanaji hata kwa vocha ya simu? Tumshukuru TAL kwa kulisanua jambo hili na kututoa kwenye UNYUMBU waliotuzoesha
Kabisa mkuu. Yaani chama gani kina pokea ruzuku lakn hakiwekezi ili kupata mapato zaidi
 
Ameandika kwenye ukurasa wake wa X.

"Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!

Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!

Show moja ya CC EM msanii analipwa 5M hadi 15M, na huyo ni msanii wa kawaida kabisa!!

Wale A list, show moja wanakunja 25M
mpaka 50M na kuendelea!!

Unawezaje kukataa biashara kama hiyo, tena kwa kwenda kuimba dakika 2 tu hadi 10!! Unalipiwa accommodation plus transport tena na per DM unapewa!!

Hata ungekuwa wewe ungekataa?🤔
Tuwe tu wakweli….Wangapi mngekataa?

Huu ni ukweli mchungu ambao wengi humu hawapendi kuusikia!! Na nimekuwa nikiusema sana for years….. Wapinzani hawatoi mchele 💴 ndomana wasanii hawaji huku!!

Huku ni KUNJA NGUMI….
Tusonge mbele MAKAMANDA…
Since 2010 hizo ndio kauli zao!!😔

Unadhani upinzani hawana pesa?

Sio kweli wanazo sana….si wanalipwa Ruzuku Billions per year!!

Basi tu wasanii sio priority kwao!

Na kama sio priority sasa kwanini wanawalaumu wakienda upande ule?

Ujue sisi mnatuona tuna support upinzani ni kwasababu tu tuna PASSION na hii kitu,
We are born to do this!!

Mimi & Kala Jeremiah tuliwahi kufanya show za upinzani tunapewa tu hela ya mafuta laki 1 tunaambiwa Safari njema KAMANDA, no Accomodation!!

So inabidi upige iende irudi hiyo….Trip shamba Trip garage….Famasiala nini!!😁

Tuko njiani tunawapigia simu wenzetu walioko upande ule sasa CC EM
wanatuonyesha wanalipwa 5M show moja!!

Kampeni zinaisha upande ule wenzetu wote wana gari mpya, kiwanja na wengine wamejenga!!

Sisi tunamaliza kampeni ***** tuko teee….tumechoka vipi!!
Hatuna hata pesa ya luku home!!

Na ukiwapigia simu hao wapinzani kuwaomba hata pesa za kushoot video mpya uendelee kuwepo kwenye ramani HAWAOKOTI KONGA!!

Haya mambo ndomana yalimshinda Kala Jeremiah akabwaga….na ndomana watu wakimsemaga huwa naruka nao kimlalomlalo Coz I know what we went through with my boy!!

Wengine tumebakia basi tu tuna SOLID HEART….tushaumizwa tushateswa na kutiwa vilema ila tupo tu mpaka watuue😁

Hakuna maslahi yoyote tunayopata, ila kule wenzetu wanafanya maisha 🏠 🚘 💴

Na siku tukifa maskini ndio nyie nyie mtatucheka na kutukebehi!!

Tukidata kwa depression tukawa mateja ndio nyie nyie mtatudhihaki!!

Acheni madogo waimbie TAWALA wapige hela walee familia zao!!

Upinzani hela wanazo sema wameamua tu na hawajali!!

Basi kama hamjali msiwaseme wasanii wale!!

Endeleeni kimya kimya na sisi tulioamua kuchagua kufa maskini!! ❤️"

#RomaMkatoliki2025
Revolutions ni gharama na sio kila mtu amezaliwa kwa sababu hiyo.

Wanamapinduzi ni rare species..
 
Huu ni ukweli mchungu ambao wengi humu hawapendi kuusikia!! Na nimekuwa nikiusema sana for years….. Wapinzani hawatoi mchele 💴 ndomana wasanii hawaji huku!!
Mchele ni muhimu pia. Maana wao wasanii sio wanaoteka watu.
 
Back
Top Bottom