Hahahahaha! Umeona ehHuyu jamaa atakua kapitia labda mujibu, haya sasa tusubiri: ZAINA ZAINA ZAINA, ZAINABU MAMA...TOTO LA KICHAGA ZAINA LETE RAHA ZAINS, UKIMUONA ZAINA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mstari wake mmoja unasema" walikimbia wale makuruta wa CCP"Za chini ya kapeti Jamaa aliendaga depo polisi ccp moshi.. Akatoroka depo baada ya kuona Hali ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app