Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Huyu jamaa toka atekwe na kuachiwa kwa masharti akaona isiwe taabu akaamua kukimbilia zake Marekani mpaka leo huku nyuma akiiacha familia yake Tanzania.
Kumekuwepo na tetesi mtaani kuwa Roma anaishi Marekani kama mkimbizi wa kisiasa!
Je tetesi hizi ukweli upoje? Kama sio kweli Roma anafanya shughuli gani huko kwa Trump?