manake mkimbizi aliekimbia nchi yake (alolazimika kuishi nje ya nchi) kwa sababu za kisiasa.Mkimbizi wa kisiasa maana yake ni nini?
manake mkimbizi aliekimbia nchi yake (alolazimika kuishi nje ya nchi) kwa sababu za kisiasa.
kiukweli kwa case ya huyu mtu mm sijui chochote mana hua sifatilii mambo hayo.Sasa huyu dogo ndio amekimbia nchi kisa siasa? Ameanza lini kufanya siasa huyu?
Sijaona siasa yake ya kumfanya akimbilie nje labda ana mambo yake tu mwenyewe
Sijaona siasa yake ya kumfanya akimbilie nje labda ana mambo yake tu mwenyewe
Sidhani Kama ana proffesional skills na uzoefu kufanya kazi ya maana kule. Kazi anazofanya zitakuwa ni usafi, kutunza wazee, kubeba mabox, Ulinzi etc...
Hahaha
Kabisa mimi niliona mfanya usafi wa shuleni huko mbele anamiliki benzi. Anakwenda kazini kwa usafiri wake,anamiliki mjengo wake,hapa Tanzania hata Dr wa binadamu hana.Mkuu hizo kwa wenzetu ni kazi za maana pia, sema kwa Bongo tu ndio mtu akifanya kazi ya ulinzi ndio anaonekana kachoka. Lakini wabeba box wa mbele Bongo wana mijengo ya maana wewe unaewadharau hauna.