Roma Mkatoliki futa neno Zimbabwe na weka Kenya

Roma Mkatoliki futa neno Zimbabwe na weka Kenya

jamanoma

Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
21
Reaction score
38
Wadau kwa kilicho tokea Kenya,wa umini wa haki na demokrasia ya dhati watakubaliana na mimi kuwa mahakama ya kenya imeonesha dhahiri kuwa ni muhimili HURU na haiingiliwi ktk kufanya maamuzi yake.

Pili nathubutu kutoa pongezi za dhati kwa Muheshimiwa Uhuru Kenyata kwa kuisheshimu katiba ya nchi yake na kuiacha mahakama ifanye kazi yake bila kuiingilia (mana ni marais wachache Africa ambao wangeweza kuruhusu rufaa ya wapinzani iweze kusikilizwa mahakamani dhidi ya Rais aliyepo madarakani) wewe ni Rais wa kuigwa AFRICA na Duniani kwa ujumla.

Tunajua Siasa ni mchezo wa janja janja nyingi mno na yawezekana labda janja janja ilitumika kuhakikisha chama chako kinapata ushindi wa Urais kwa awamu ya pili....Jipangeni upya.

Ama kwa hakika Kenya ni nchi huru......
Tafadhali Roma Mkatoliki Urudie wimbo wako wa Zimbabwe na kwenye Zimbabwe weka Kenya.
 
Nyinyi mtieni ujinga tu huyo roma kuimba masiasa mwisho ataishia kuchanganyikiwa..na alivyo hajielewi naye anapoteza muda sijui zimbabwe sijui ukawa!!

Hopeless!!!...wenzie verse moja tu ya seduce me ma views milioni tano kwa wiki na mashoo yamejipanga kama matofali ya kuchoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

-Ndumilakuwili-
 
Back
Top Bottom