Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
- Thread starter
-
- #21
Iyo kauli kuwa chadrma imekufa inatolewa na mtu anayejia nguvu ya chadema sema anajitoa akili tu.Chadema imeshaozaga kabisa zamani niliwapenda kwa hoja zao nakujitolea ila sasa wanapresha na hawana sifa tena.
Yaani wao wadelete tu hicho chama au wakae kimya kama vyama vingine.
Eti naye tundu lissu anataka kugombea uongozi mwaka huu kwanini asisubirie tu 2025 ?
huwezi jua, vipi kama kuna kazi ametumwa kuifanya, akimaliza ndio arejee..??? na huenda kipaumbele chake si ubunge...Katika wasanii wenye Uwezo mkubwa wa kujenga hoja zenye maana katika Jamii hivi sasa hapa Tanzania, ni Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki.
Kwa Ujasiri na uwezo wako mkubwa kimaono kama kijana umeonesha unastahili kuwa bungeni na ninauhakika popote pale utakapogombea lazima uingie bungeni bila kujali utagombea kupitia chama gani cha siasa.
Kwa CV yako nilivyoiona kielimu, unawazidi wabunge wengi sana waliopo hivi sasa bungeni. Kwa kifupi unasifa zote za kuwa mjengoni na wapiga kura unao.
Binafsi Ningependekeza ungegombea kupitia Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili uwe huru utakapokuwa ukitoa Maoni/ hoja zako bungeni.
Nakuhakikishia hutajutia and you will thank me later.
Tatizo uhai wake sio CVKila akipakumbuka ununio anaishia tu kusema..
'Kaka tuchati'.
Hadi tunarudi mitamboni alikua na Diploma in Computer Science (UDsm)Mkuu unaweza ukatupa cv ya huyo Roma Mkatoliki.