Roma Mkatoliki: Mke wangu kupost instagram atanipa staili zote hajakosea..ni staili 4

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Roma mkatoliki akihojiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo EA Radio amesema aliulizwa ni staili ngapi mkewe amempa, akasema kwa kuwa neno style lina herufi nne basi ni staili nne
Alipoulizwa mkewe hajashtuka alipoona post yake imeenea sana, alisema hakuwa na cha kushtuka kwa kuwa hajakosea

 
Roma Kapata umaarufu mkubwa ,,katengeneza Jina lkn nashangaa kwann Hataki kulitumia jina kufanya pesa km diamond !!!!.

Akiendelea nahayo ,,nikweli atakufa kiharakati nabado mtoto namam yake wakabaki shidan .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu uzi unanipa raha

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…