Roma Mkatoliki: Mke wangu kupost instagram atanipa staili zote hajakosea..ni staili 4

''Baba Ivan Mbona diamond anamsifia baby wake lakini ww hata unisifii kutwa kupondea watu,niimbie Basi na Mimi Kidogo " mama Ivan
"wewe ndo wangu wa ubani,
Nakuita mama Ivan, " Baba Ivan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu ya Ngosha ni awamu ya kutoa kiki...

Roma anajikysanyia tu mkwanja nw.

Pingezi kwa Sizonje.
 
Acheni tu jina likue, maana ukitekwa ukarudi ni bahati za wachache.
Naamini wanaotekwa wasirudi ndo hao wanaokotwa kwenye viroba.
Tz Tz nakupenda sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Style ni herufi nne?
Huyu 'mwanaharakati uchwara' msameheni tu.bora alivyokaa kimya ila huu anaoufanya sasa ni upuuzi!
ka wimbo ka baya na nahisi waliomteka 'wamembaka hadi akili yake'!alikua na akili njema kabla hajabakwa ila sasa mmmh!
 
Walioingiza sanaa kwenye maisha yao binafsi imewacost sana soon huyu dogo ataanza kupigiwa kamke kake km barnaba nuh mziwanda na wengine they forget to expose their potentialities instead they expose their wives upuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Style lina herufi nne??,hata tukiandika kwa kiswahili staili bado haziwi nne,,anyway labda kikwao lina herufi nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…