Roma Mkatoliki sasa ni mwalimu wa Hisabati shule ya Msingi Mchikichini

Yanii!!. sasa ukienda huko kwa dada yao mange utacheka hizo comment zao za ukilaza...
kaka nimegundua watanzania tunashida kama viongozi wetu,ndio maaana hata katika uchaguzi huwa tunapata viongozi vilaza wakusaini mikataba bila kusoma,

nimechoka kabisa
 
Hahahah sasa kama umeweza kusoma comment yangu hayo maelezo ya hapo juu umeshindwaje kuyasoma...?
Mmmh haya tu wewe endelea kunichanganya na maswali yako.[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
kaka nimegundua watanzania tunashida kama viongozi wetu,ndio maaana hata katika uchaguzi huwa tunapata viongozi vilaza wakusaini mikataba bila kusoma,

nimechoka kabisa
Shida sana,me tangu niligundue hilo siwalaumu viongozi hiki kizazi kikipotea ndo Tanzania itasonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…