Vitu vingine tumia akili, sio upewe shuka uombe na blanket. Umeshindwa hata kujiongeza, kwamba kiongozi hapa lazima atakuwa ni yule aliyesema watapatikana kabla hata ya j2mkuu umemsahau kumtaja huyo kiongozi aliyeongea naye juzi usiku?
pia umesahau kumtaja huyo dada anatoka kitengo gani
Jumanne siyo mbali mkuu wakatoliki halisi tupo tayari kwa misa na matoleo. Tunaomba full report bila kuuma uma. Sisi tumeshanga hii kolabo aliyoifanya na Mwaki wenye akili tukajua huyu akili zake zimeshikiliwaTulia mkuu hii ni taarifa fupi tu ila kama ataficha ukweli basi jumanne taarifa kamili itatolewa
Yani madaraka yanafanya binadamu wakose utu kabisa aisee Wote waliomfanyia huo mchezo laana iwapate na iwarudie kizazi chao.Ndio maana alikua hatulii kwenye kiti, kumbe wazee wa kazi walitumbukiza vitu kwenye utumbo mkubwa.. Eeeh Mola msaidie mja wako..
Mkuu Daud Mchambuzi, nimekufuatilia tangu jana, niliona kama vile lipo unalolijua pia kuhusu hili saga. Tupe japo kiasi unachokijua tuunganishe na haya ya Tomato.Aisee kumbe Roma kapuliziwa slow poison
Yani madaraka yanafanya binadamu wakose utu kabisa aisee Wote waliomfanyia huo mchezo laana iwapate na iwarudie kizazi chao.
Uko makini kama mimiTomito tomato subiria kwanza
Its pain aseee mpaka imemtoa Lara 1 mafichoniROMA MUNGU WETU NI WA HAKI SIKU ZOTE. SALI ZABURI YA 35 SIKU 30 MFULULIZO, UTANIPA MAJIBU. Yesu alisema juzi jumapili ya matawi, MKIWAZUIA HAO KUIMBA NA KUNILAKI NITAYAAMURU MAWE YAIMBE. WE SALI ZAKO HIO ZABURI YA 35, KWA MUNGU WAKO ALIEKUUMBA, MUNGU WA IBRAHIMU, YAKOBO NA ISAKA, NA HAKIKA MAWE YATAIMBA VIVA ROMA VIVA.
Hii mijangili ya dunia usipambane nayo kimwili itakuumiza. Mwenyewe nataka nimfunguie huyu jangili novena moja takatifu. Its about time GWAJIMA gets spiritual help.
Yaani mkijitia kuja kuniteka kwa hiki ki comment, Mimi majeshi yangu si ya dunia hii, MUNGU WANGU SI BAALI, MSITHUBUTU KUMJARIBU AJITETEEE MWENYEWE MTAAIBIKA.
Nipo na hasira sana. Ila kidogo nilie kutokana na uliyoandika, hasa katika maandiko hayo ya zaburi.ROMA MUNGU WETU NI WA HAKI SIKU ZOTE. SALI ZABURI YA 35 SIKU 30 MFULULIZO, UTANIPA MAJIBU. Yesu alisema juzi jumapili ya matawi, MKIWAZUIA HAO KUIMBA NA KUNILAKI NITAYAAMURU MAWE YAIMBE. WE SALI ZAKO HIO ZABURI YA 35, KWA MUNGU WAKO ALIEKUUMBA, MUNGU WA IBRAHIMU, YAKOBO NA ISAKA, NA HAKIKA MAWE YATAIMBA VIVA ROMA VIVA.
Hii mijangili ya dunia usipambane nayo kimwili itakuumiza. Mwenyewe nataka nimfunguie huyu jangili novena moja takatifu. Its about time GWAJIMA gets spiritual help.
Yaani mkijitia kuja kuniteka kwa hiki ki comment, Mimi majeshi yangu si ya dunia hii, MUNGU WANGU SI BAALI, MSITHUBUTU KUMJARIBU AJITETEEE MWENYEWE MTAAIBIKA.
Bilashaka unaliwa 0712 na mtukufu sizonjeKabisa
Naona wanatumana kutunga mambo ili kuchafua viongozi. Wana watu nyuma yao wanajribu kila njia na watakwama tu.
Jana tu yeye na sijui maneja wametoautiana waliyosema. Na bado watu watanyooka tu
Nchi ya Magufuli hii, hakuna blah blah blah
Hahaaaa upo Mama Mchungaji??Tomato paste yakheee Mb za kujichanga bandugu!
Nchi ishauzwa hii yakhe utasikia ofisi na saver za Jf zimetunguliwa na ndege za kivita za seria na Alshabab, bomb raider OG. Never under estimate Bashite. Usirembe tupe ubuyu fastaaa hata ndege za bomb raider zikija DEAL DONE. Ukiremba ndo itakuwa baaaaaassss tena