Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Inaonekana umefurahi sana ee Roma kutekwa na kupigwa ulivyo na roho mbaya wee mwanamke

Hivi umezaa kweli?
 
Mb
Mbona kama hata wewe hujajibu maswali pale juu uliyoyauliza?

Moderator ipandishe hii story kwenye post ya kwanza.
 
Unamaanisha huyu ni GENTAMYCINE ?

Nadhani huu sasa ni wakati muafaka kabisa kwa Moderators wa JF na Uongozi wenu hili suala la Watu humu kutajana hovyo hovyo mlichukulie hatua kwa kutoa zile adhabu zenu za kosa la name calling kwani binafsi sasa niseme tu wazi kwenu kuwa ninachoka kwa hii ID yangu kufananishwa na ID' s za Watu wengine au kufananishwa na Mwanasiasa au Mwanaharakati yoyote. Hivi kwanini kila ID humu iwe ya zamani au mpya basi ' Wapumbavu ' fulani tu wanaihusisha na Mimi GENTAMYCINE? Nimechoka na hii ' Kero ' na naomba leo niseme tena kuwa sina ID nyingine humu JamiiForums zaidi tu ya hii hii na naomba Watu msiitumie ID yangu kama ' kichaka ' chenu cha ama kutaka sifa au kupandishwa vyeo huko makazini kwenu au kujifanya tunajuana sana. Moderators nisaidieni katika hili tafadhali kwani huu ' upumbavu ' naona kama vile unaanza kuzoeleka.

Nitashukuru.
 
Kama unaweza hebu saidia katika hili.
 
Mkuu tomato hujaelezea kuhusu gari inayopita pita nyumbani kwa Roma inaenda kufanya nini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…