Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Duuuu [emoji15][emoji15]
 
Watu tulikuwa tunalalamika na kushutumiana kuwa Roma kaenda wapi kumbe wewe unajua kila kitu??? Sasa si ingetuambia mapema kabla hawajapatikana ili tuamini kuwa uliona kila kitu?

hata huku kuzipata tu hizi taarifa nadhani ulipashwa kwanza unipongeze kwani yawezekana wewe upo huko tanzania kwa sasa ulikuwa huna ila mimi ambaye nipo zangu huku mkoani kwetu hergeisa nchini somalia nimeweza kufanya jitihada zangu za kulijua hili jambo na hatimaye hata wewe kuweza kujua sasa. nadhani muhimu ni kujua kiini cha tatizo na siyo kwanini tokea lini sikujitokeza kusema ukweli. tujifunze kushukuru na kuheshimu juhudi za mtu aliyeamua kujitoa mhanga kusema ukweli.
 
Nahs wewe unahusika maana yote haya unayajua duuh hii movie ndefu
 
Mmh mi mpaka mwili umesisimka maana mtoa mada anaonekana anamaanisha anachokiongea.tusubiri iyo kesho

simaanishi tu mkuu bali nina uhakika. au unataka nikuambie ni simu gani atapigiwa mkatoliki wenu leo kati ya saa 11:00 hadi saa 11:30 leo jioni? ogopa sana jambazi akiacha ujambazi na akigeuka kuwa mlinzi au askari shupavu wa lindo hakitaibiwa kitu na hatafichwa chochote. waliomteka mkatoliki wacha wacheze mchezo wao na sisi sasa tunawafundisha jinsi ya kuucheza vizuri huo mchezo. sasa tunataka huu uonevu wa watanzania wasio na hatia au wanaopaza sauti zao za kizalendo kutishwa au kutekwa nyara na hata kuuwawa ufike mwisho.
 
Maneno haya ndio nimeshtuka unatumia ID zingine kama Saba humu Jf

Mwanzo nilitaka niingie mkenge


Anyway sawa mkatoliki

hayo unayajua wewe mkuu mimi siyajui na id yangu ndiyo hii hii iliyopo tafadhali. kwa majukumu niliyonayo sina muda wa kuwa na id zaidi ya moja humu na bahati mbaya pia ni kwamba huwa siingii humu mara kwa mara ila inapobidi basi huja kwani naipenda mno tanzania.
 
Haya sawa Mkuu mkatoliki
Ila fahamu pia ni ngumu sana kuficha personality yako kwa IDs zaidi ya moja or else umekubuhu kwenye hiyo fani kitu ambacho sio kweli kwa sababu umesha acha traits na ndio kosa lenyewe

Anyway tukutane jumanne Mkuu sana
 
Tanzania haiwez kupotea Daima, kwa uwezo wa mungu.Makanda tuendelee kupiga kazi bila kusahau kufichua maovu.
 
Tatizo mnataka aseme ambayo mgependa kuyasikia
Sisi tunapenda kusikia mafuta yameshuka bei,unga umeshuka bei,mikopo inatolewa kwa wingi elimu ya juu,usalama na uhuru wa maoni kuongezeka!,Social funds kutoa mafao n.k,Je Roma ndio atayazungumzia hayo?
please,hujui tunataka kusikia nini binamu,not to that extent!
 

Mama yangu!!!!!!! Ngoja tu nirudi kwetu Gisenyi, Rwanda niwaachieni nchi yenu tafadhali kwani si kwa picha hili lililoanza.
 
Nimeimiss chadema ya dr slaa,yaani walikuwa hawachezi na fursa hizi kabisaaa,
hapa tayari wangeshapata mawasiliano,tayari watu wangewekwa mtaa anaokoo Roma ili kufuatilia ile gari inayopita na hao magaidi kumtishatisha,
hiyo gari ingekuwa tracked na mhisika angeanikwa wazi ,yote hayo yangefanyika kwa gharama kidogo tu ambayo hawa viongozi wao wa sasa wanaona ugumu kutoa fund kwa kazi kama hizo,

ha ha ha japo nilikua buku saba kipindi hicho moyoni nilikuwa nakiri vijana walikuwa wanatukimbiza balaaa
 
Watumiaji wa mitandao wapenzi wa Nchi yetu Tanzania tujilinde na kauli zinazoonyesha kuna jambo lilowazi ktk utekwaji huu tuachie walengwa nafasi yakutwambia nini kiriwasibu na stahili zote husika ili tupate picha ndipo tutakuwa na mda wa kukoment au kuhoji lolote
 
Mbona unarukia conclusion? Kwani mleta mada kuna mahali kamzungumzia Alwatan Daudi? Naona ndo yale yale ya kujikoroga. "Atapatikana kabla jumapili".

Ziro on Paper reflects Zero in Brain.
 
Haya sawa Mkuu mkatoliki
Ila fahamu pia ni ngumu sana kuficha personality yako kwa IDs zaidi ya moja or else umekubuhu kwenye hiyo fani kitu ambacho sio kweli kwa sababu umesha acha traits na ndio kosa lenyewe

Anyway tukutane jumanne Mkuu sana

mkuu mbona kama vile unalazimisha kujuana na mimi? au wewe ndiyo yule dada uliyekuwa ukiongoza mateso ya akina mkatoliki pale oysterbay safe house yenu huku mkiwarekodi hivyo unataka kuninyamazisha? nimesema kama kesho mkatoliki hatosema ukweli wote basi sisi wakatoliki tutausema jumanne na kwa namna bora kabisa ili watanzania wajue mbivu na mbichi. ogopa sana jambazi akija kuwa mlinzi hakuna kitakachoibiwa na uhalifu kutokea hapo. tena hayo niliyoyaeleza hapo ni machache mno na kama nikisema niweke kila kitu nadhani kutakuwa na reshuffle muda si mrefu hivyo namsubiri kwanza mkatoliki hiyo kesho na sijui kwanini hata hiyo kesho haifiki tu haraka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…