Ila kweli waongea kama rafiki yangu mmoja mpendwa toka burundi renovat nijimbereMama yangu!!!!!!! Ngoja tu nirudi kwetu Gisenyi, Rwanda niwaachieni nchi yenu tafadhali kwani si kwa picha hili lililoanza.
Ana chechemea,inaonekana kipigo alichezea
Kuna kitu na mimi nmekiona mkuu huyu mtu Ana I'd nyingi tu katika huu uzi tena kama sio Ge.....neHaya sawa Mkuu mkatoliki
Ila fahamu pia ni ngumu sana kuficha personality yako kwa IDs zaidi ya moja or else umekubuhu kwenye hiyo fani kitu ambacho sio kweli kwa sababu umesha acha traits na ndio kosa lenyewe
Anyway tukutane jumanne Mkuu sana
Mmmh[emoji15] [emoji15] [emoji15]tena siyo kidogo na alikanyagwa mno mbavuni na kichwani na juzi ilibidi akandwe sana ili kuondoa uvumbe uliokuwa umemjaa usoni mwake. mkuu hayo niliyokuwekea hapo na madogo mno hao vijana wamefanyiwa mambo makubwa na hadi ya kudhalilishwa na nasita kuyaweka hapa kwa maslahi tu ya familia zao na dini zao. inauma na inasikitisha sana watu wawili wanaandaa mateso kwa watanzania kwa maslahi yao na kuwanyamazisha watu.
Wewe kama nani? Roma anakukaza au? Ebu tuondolee uchawi wako hapa,akwambie wewe kama nani maskini mkubwaKesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Yani hawa mbwa wanaudhi,unatamani hata uwapige shoka la shingo,kabisa jitu linakuja linakomalia eti aseme ukweli,mijitu mingine bora itolewe kafara tu uselessWewe ndio utuambie ukweli umejuaje alipigwa virungu? ulikuwepo
Sasa umejuaje hatosema ukweli wakati yeye ndio anajua ukweli? Tatizo lenu tayari mna majibu yenu mfukoni sasa mnalazimisha Roma aseme hayo.
Ukweli ni ukweli tuu hata kama hauto wafurahisha kwa hiyo mtulie msilazimishe aseme myatakayo
Thanks binamu, tell themMkuu watu kama nyinyi ndio mnasababisha kina MaxMello kulazwa selo. Tuiheshimu JF, tuithamini, tusiibadili kuwa kijiwe cha kusakata porojo na udaku. We cannot afford losing this precious platform kwa upuuzi wa watu wachache.
Ndio hatumpendi/hatumtaki Baxhite, lkn this is too much.
. mkuu hayo niliyokuwekea hapo na madogo mno hao vijana wamefanyiwa mambo makubwa na hadi ya kudhalilishwa na nasita kuyaweka hapa kwa maslahi tu ya familia zao na dini zao.
Tobaaaaaaa
Nakuunga mkono pamoja na akili zako ndogo kwamba hii inchi itabid siku tutandikane sana huko mbele ili tueshimiane maana ipo fika inchi ni mali ya kikundi flani tu hivi cha watuYani hawa mbwa wanaudhi,unatamani hata uwapige shoka la shingo,kabisa jitu linakuja linakomalia eti aseme ukweli,mijitu mingine bora itolewe kafara tu useless
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Amejua hatasema ukweli kwasababu tu Jana anahali mbaya kuchechemea nã mikwaruzo mwilin nã bado alinena kwamba yupo fiti moja kwa moja tumejua wamepigwa top kusema nahuenda wametishiwa kurudishwa walipotokaWewe ndio utuambie ukweli umejuaje alipigwa virungu? ulikuwepo
Sasa umejuaje hatosema ukweli wakati yeye ndio anajua ukweli? Tatizo lenu tayari mna majibu yenu mfukoni sasa mnalazimisha Roma aseme hayo.
Ukweli ni ukweli tuu hata kama hauto wafurahisha kwa hiyo mtulie msilazimishe aseme myatakayo
Hah hah hah hah mkuu ungemwekea na uchaguzi je akipatia swali?ukijibu swali hili, nitakuona una akili, ukishindwa nipe nilale na mama yako
kwani kosa la Roma mkatoliki ni nini?
Inawezekana we we ni mmojawapo ya watekaji inakuwaje uyaelewi haya mambo kiasi hiki kuanzia hatua mwanzo ya kutekwa mpaka dakika ya mwisho ya kuachiwaKesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..