Roma na izo wanapokwenda ni pabaya

Roma na izo wanapokwenda ni pabaya

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wanapo kwenda ni pabaya sababu kama ni mfatiliaji wa taarifa za habari,jana niliamua kuchungulia tbc1 na kukutana na habari inayohusu wao kuandaliwa mpambano j.pili. Sikuwa na tatizo na hilo bali kilicho tokea ,wakati wakijinadi kuhusu mpambano wao wa j.pili! Kila mmoja alipewa nafasi ya kuongea huku wakipeana shutuma ,izo wakati anaongea alipandwa hasira na kutaka kumkuja roma,uku wakiwa wametenganishwa na mtu aliye kuwa amekaa kati na kuamlia. Kilicho nishangaza juu ya hili bifu ni mtu kufikia kutaka kupigana. Inasikitisha sana msanii kama izo b kukosa busara na kutaka kupigana tena mbele ya vyombo vya habari. Nafikiri kunakitu kingine zaidi ya muziki katika bifu lao.
 
Promo tu hiyo kutoka GloboPublisher, no more
 
wakafanye mambo hayo mbeya na tanga respectivelly.....dar es salaam hatutaki huu ushamba!
 
Wajanja tunajua ni biashara na wenzao walishafanya zamani. **** **** to hell.
 
Kuna watu wanapaswa kukuumiza kichwa, ila si Roma na Izo, Hawajijui kwanini ni wasanii.
 
Wooote wana Clouds hao,,,, watakuwa wametumwa ili kupotezea inshu yao na Sugu
 
Back
Top Bottom