unachokizungumzia hapo ni ZALI na sio ZARI.WEMA= anashukuru kwa wema wenu kupaza sauti.
ZARI= Imekua kama zari (STAMINA) akamuona tena mchizi Roma.
tupe ulivoelewa ww mkuuunachokizungumzia hapo ni ZALI na sio ZARI.
Angeandika SHUKRANI kama ndo anachotaka kukiwasilisha na sio WEMA.
Hatuwezi danganywa kirahisi hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kuelewa hapo zaidi ya kiki,tupe ulivoelewa ww mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3]nimekuelewa mkuuWEMA= anashukuru kwa wema wenu kupaza sauti.
ZARI= Imekua kama zari (STAMINA) akamuona tena mchizi Roma.
Sikinde waliimba, "leo upo manzese na kesho kinondoni, unajivunjia heshima na hadhi yako bure, heri pazia kuliko bendera kufuata upepo ooh".Hata ukinikata damu yangu ni lowassa tupu so Wanangu wa ukawa vidole viwili juu.
ukimeza utacheza ad om utasema huendi tena---(chorus flan ivi umenikumbusha)Mmmh ngumu kumeza