hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya
#YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI.
Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo Sana, Mimi Sijamtumia Kitu Chochote Wala Sijahusika Kwenye Wimbo Wake Huo, Kwanza Hata Namba Yake Ya Simu Sina, Ananisingizia Na Sijapenda!! Mimi Ni Kijana Muadilifu Sana NA MNALIJUA HILO @BasataTanzania
Naipenda Sana Nchi Yangu, Zidumu Fikra Za Mwenyekiti Na Kazi Iendelee……!!
#NB Akija Hiyo Jumatatu, Malizaneni Naye PekeYake, Mimi Nina Familia Na Watoto Wananitegemea Kupitia Mziki, Sitaki HekaHeka!!
Kwanza Mimi Urafiki Na Mtu FreeMason Wapi Na Wapi? @BasataTanzania Hata Nyie Hamuoni!!?"
Kwa upande wangu naona Roma kazingua sana