Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #41
Roma anapendwa na nani? Kwani harmorapa hakuna wanaompenda?Roma anapendwa sana kuanzia kwenye sosho midia hadi kwenye shoo zake
Wivu unakutesa jamaa ngoma zake nyingi zinakubalika na wakulungwa toka ameanza miaka ya 2008
CCM huwa inawekwaje kwenye ballot paper?.Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Huo uwezo wa kuchambua unao?Weka lyrics tuchambue mashair sio kubwabwaja
Kula chuma hikoHuwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Ushamba unakusumbuaRoma anapendwa na nani? Kwani harmorapa hakuna wanaompenda?
mtazamo tuHamna kitu huyo. Lakini sishangai wewe kumkubali maana hata harmorapa ana washabiki
Hakuna ballon paper. Jifunze kwanza kuandikaCCM huwa inawekwaje kwenye ballon paper?.
Andazi litawekwa kwenye hiyo paper kama CCM inavyowekwa
Kama wewe pamoja na ujinga uliona hadi leo bado unapumua basi si ajabu roma kuwa na mashabikiUshamba unakusumbua
Nakuacha nao ukutese na ukuue ikibidi
Chawa wa mama huyuJombaa kila mtu ana mtazamo wake, we ukiimba CCM mbele kwa mbele kwani unakatazwa! This is life heshimu machaguo ya wengine!
Mtazamo wa hovyomtazamo tu
Hip hop sio kama mata** Kila mtu anayo....Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Mwerevu kazi yake ni kumfunza mjinga. Unafikiri mjinga akiachwa wataoathirika ni kina nani?Nenda kwa zuchu mkuu waache watu na roma wao
Ndiyo hivyo yeye ameshaimba na wewe usiyemwelewa/usiyempenda umeshaanzisha uzi wa kumdiscuss na yeye amepata tena attention toka kwa mtu kama wewe usiyemwelewa/usiyempenda....another day another milestone for him.... Life goes on....Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Ni kweli haipo, ndio maana Roma anachagua Andazi kuliko CCMHakuna ballon paper. Jifunze kwanza kuandika
Nyimbo zako zinakosa sokoKama wewe pamoja na ujinga uliona hadi leo bado unapumua basi si ajabu roma kuwa na mashabiki