Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ulimboka aliwataja hakuna aliyechukuliwa hatua, subiri ukitatuliwa linda tuone utachukua hatua ganiAlishalikoroga toka mwanzo......
Angesaidiwa sana kama angesema ukweli wote pale... Hata kwa kuwataja watesi wake tu ingetosha...
Omba Mungu sana akupe akili na hekima ya kuzitumia...
From nowhere jamaa amekuwa zakupendwa
Hahaha mkuu umeniacha hoi kama unaifeel vileInasemekana alipakwa mafuta, afu imo imo imooo
Sijafeel telHahaha mkuu umeniacha hoi kama unaifeel vile
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Roma kausha, mbona tulishaachana na habari hizo! Ww unadhani utapata kiki, ama kwi...kwi....kwi.....?Ningesema walichonifanyia nilivyotekwa, hakuna mtu ambaye angetaka kuwa karibu na mimi tena.-Roma
Katoa kauli hii akihojiwa na EATV,Wataalamu ebu ongezeeni nyama hiyo kauli ya Roma"Tafakuri"
Muhuni sana weweInasemekana alipakwa mafuta, afu imo imo imooo
Akisema nyote mutamkimbia hivyo ni bora aendelee kukaa kimya tuMmmmmh aiseeeh sasa si aseme tu?