ROMA: Nikisema Walichonifanyia baada ya kutekwa Hakuna mtu angekaa Karibu na mimi

Anatafuta Kick za kurud kwenye game....!

Kama awez kusema kwanini kasema ata hicho....?

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Alishalikoroga toka mwanzo......
Angesaidiwa sana kama angesema ukweli wote pale... Hata kwa kuwataja watesi wake tu ingetosha...
Omba Mungu sana akupe akili na hekima ya kuzitumia...
From nowhere jamaa amekuwa zilipendwa
 
Alishalikoroga toka mwanzo......
Angesaidiwa sana kama angesema ukweli wote pale... Hata kwa kuwataja watesi wake tu ingetosha...
Omba Mungu sana akupe akili na hekima ya kuzitumia...
From nowhere jamaa amekuwa zakupendwa
Mbona ulimboka aliwataja hakuna aliyechukuliwa hatua, subiri ukitatuliwa linda tuone utachukua hatua gani
 
Hata akiwa yeyote humu JF hawezi kusema wale viumbe wkimdaka coz nackia n MARINDA yanafumuliwa with alot of videos

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini aogope ? Mbona keshatoboa siri. 'Heri Mimi sijasema '
 
Ningesema walichonifanyia nilivyotekwa, hakuna mtu ambaye angetaka kuwa karibu na mimi tena.-Roma
Katoa kauli hii akihojiwa na EATV,Wataalamu ebu ongezeeni nyama hiyo kauli ya Roma"Tafakuri"
Roma kausha, mbona tulishaachana na habari hizo! Ww unadhani utapata kiki, ama kwi...kwi....kwi.....?
 
Bora asingeongea kabisaa

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Kinachoshangaza aliyefanyiwa mwenyewe kachukulia poa wewe na mimi kinakuuma nini? Au kuna mtu nae anapenda afanyiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…