ROMA: Nikisema Walichonifanyia baada ya kutekwa Hakuna mtu angekaa Karibu na mimi

Mbona ulimboka aliwataja hakuna aliyechukuliwa hatua, subiri ukitatuliwa linda tuone utachukua hatua gani
Mkuu mimi bora umauti kuliko kuwa ms**
Ulimboka na huyo dogo scenareo zao ni tofaut sana......
Huyo dogo. Alidhani kutunza siri kutamtoa....
 
Mkuu mimi bora umauti kuliko kuwa ms**
Ulimboka na huyo dogo scenareo zao ni tofaut sana......
Huyo dogo. Alidhani kutunza siri kutamtoa....
Usimlaumu kwa maana hujui nini kilimpata.
Kila mtu husema hivyo ila likimpata la kumpata ndipo utaona kabadirika.
We jiulize mwakyembe wa sasa na wa zamani before hajaugua.
Ndungai wa sasa na wa zamani kabla hajaugua and the list goes on
 
'leta bunduki,leta wajeda.leta sijui nini na nini afu nitupwe daraja la mkapa".............dadeki, watu hawajaleta hata kirungu, eti babycare kopo dogo tu, dogo kimyaaaaaa anatafuta tu huruma ya wananchi.
ndo waache kujiona 'komando Joni' wakiwa booth mule!
 
Mjinga kabisa..
Unalalamika lalamika wakati waliokudhuru unawaona kila siku.
Nenda hata vyombo vya habari vya nje kawataje.
 
Anaweka fumbo ambalo jepesi kutegua na kwa maneno hayo aliyosema kila atakaesoma atajua2 msela alijazwa sasa sisi wengine tulishajua mda2 mbona tupo nae karibu !!!! Au anaogopa kupewa maneno ya kitabibu kwa kitendo hicho

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
ameshapoteza.....
Alikuwa na nafasi ya kusikilizwa pale mwanzo sasa hamna kitu....
 
Bora asingeongea kabisaa

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Mpaka watoto wanajua alifanzwa nini. Kuna mambo mengine yanatia aibu. Yaani mwanamume unatoka hadharani na kuongea kauli tata kama hizo!!??
 
Ina maana mwaki embe anajua kuwa alipakwa mafutwa alafu imo immo immooooooooo????
 
Uo wimbo niliuskia siku moja nilicheka sana

nataka uwaziri wa nishati na madini
 
Usimlaumu kwa maana hujui nini kilimpata.
Kila mtu husema hivyo ila likimpata la kumpata ndipo utaona kabadirika.
We jiulize mwakyembe wa sasa na wa zamani before hajaugua.
Ndungai wa sasa na wa zamani kabla hajaugua and the list goes on
Mkuu hapo kwa Mwakyembe na Ndugai sijakupata, naomba uninong'oneze

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hata akiwa yeyote humu JF hawezi kusema wale viumbe wkimdaka coz nackia n MARINDA yanafumuliwa with alot of videos

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Walimpapuch kidogo labda

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ndie Roma Huyo mzeee Wa ile mistari.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hawezi kusema kama ameliwa kiboga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…