Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
POLE KWA KUAMUA KUJIPIGILIA MSUMARI WA MOTO MWENYEWE..
Nyota wa muziki wa Rap Bongo ‘Rhymes Of Magic Attraction’ Roma amethibitisha fununu za kuwa muziki anaoufanya umekua ni msalaba mzito kwenye maisha yake.
Akizungumza na eNewz Roma alisema kuwa hayo ndiyo maisha aliyoyachagua na ni mwanaharakati anaetetea haki na amani katika taifa lake, maendeleo bora na hicho ndicho kitu kikubwa anachojaribu kukipigania.
“Natamani nipate utawala au uongozi ambao utamfanya Roma asiimbe hip hop na ukiona kila siku Roma anatoa mawe basi ujue bado hatujapata uongozi huo ama utawala huo,” alisema Roma na kuongeza, “Kwa hiyo inabidi niendelee kushindilia ili taifa langu siku moja lione kwamba Roma alikuwa ni mmoja kati ya wapigania haki”.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] hivi imekuwaje aisee hadi kaoa mwanamke mwingine?Vipi roma pale Nirvana bado unapatumia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watumiaji utawajua tu!afu mbona kama anatengeneza ganja hapo kwny picha au maharage ndo yanazidi kuniathiri!
wengne wamesomea tuu hiyo kitu kwenye darasa la mtaa, si lazma wawe watumiaji[emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] watumiaji utawajua tu!
Mimi wakati naona picha wala sikujewa na fikra hizo.
Mkuu...inawezekana yakawa maharage..maana mi nimeona ni foil paper na mfuko wa plastic kuashiria labda anapiga kiepe...au na mi ndo nmekariri 1+1...?afu mbona kama anatengeneza ganja hapo kwny picha au maharage ndo yanazidi kuniathiri!
hahahahahahahah watoto wengne bhna, bora wababa tumwagie nje tuu, khaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] watumiaji utawajua tu!
Mimi wakati naona picha wala sikujewa na fikra hizo.
Hahahaaaaaa jamaa kakimbia kipini kile looh[emoji85][emoji134] [emoji134] [emoji134] hivi imekuwaje aisee hadi kaoa mwanamke mwingine?
Nilisahau kabisa hii issue.
Dah
Huwa ni njaa tu, subili ashibe utaiona rangi yake halisi...Roma ni Moja ya wasanii wachache wenye determination
Kile kipini hakizoeleki...Hahahaaaaaa jamaa kakimbia kipini kile looh[emoji85]