Kwanza ukitoa nyimbo za band za majeshi, nyingine zote za mchakamchaka hazina umiliki, ni za kuibua hisia tu ili kupandisha mori.kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
Zawiya makanda zawiya*2iyo chenja jina lake ni nini?
Na ndio maana kuna wanaopata Zero na One...Kwanza ukitoa nyimbo za band za majeshi, nyingine zote za mchakamchaka hazina umiliki, ni za kuibua hisia tu ili kupandisha mori.
Roma kachukua maneno ya wimbo wa "Zawiya makamanda", ambao japo sijui maana yake, lkn mbele wakaweka "...tunakwenda, Zimbabwe, Zimbombo, Iyeleleee...".
Wimbo ulikuwa na lengo la kuamsha hisia za wapigania uhuru, wakamsaidie Mgabe kuwafurusha walowezi, waiache Zimbabwe huru.
Sasa Roma, ameshindwa kusimamia alichotuaminisha kwa muda mrefu kusimamia uzalendo, kupinga ufisadi, uonevu, na maovu mengine ya watawala yaliyopo Tanzania, anawaza kukimbilia Zimbabwe. Picha anayotengeneza ni Zimbabwe kuna amani na utulivu wa kutosha, atafurahia maisha akiwa huko.
Kifupi, ameshindwa tena sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha au kama ule mtumbwi(MV baga), jamaa alivyoukabidhi mikadiKwahiyo ndio mmeamua kuukabidhi wimbo wa Roma kwa Jeshi ili tuache kuudadavua kama mnavyofanya kwa vifaru? Kalaghabaho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha the best insult comment everKuna thread ukiziona unajua kuwa Mungu alimuumba mtoa mada na akili lakini binadamu wenzie wamefanikiwa kumtoa hizo akili na kumwachia akili za kutambua njaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
UncleBen bwana, nimecheka asubuhi bila kupenda.Ulitaka kiitikio kiwe ule, "Helenaa hiyo mimba ni ya naniiii "
Wimbo wa Roma upo juu sana, umejaa vesi kali. Nina kwenda Zimbabwe, anamaanisha Zimbabwe inahukikana ni nchi ya kidikteta, huku kwetu tujitamba ni wanademokrasia, lakini badala ya kutumia hoja kwa hoja kubishana, mwenzio anatumia bunduki. Bora kwenda Zimbabwe.Kwanza ukitoa nyimbo za band za majeshi, nyingine zote za mchakamchaka hazina umiliki, ni za kuibua hisia tu ili kupandisha mori.
Roma kachukua maneno ya wimbo wa "Zawiya makamanda", ambao japo sijui maana yake, lkn mbele wakaweka "...tunakwenda, Zimbabwe, Zimbombo, Iyeleleee...".
Wimbo ulikuwa na lengo la kuamsha hisia za wapigania uhuru, wakamsaidie Mgabe kuwafurusha walowezi, waiache Zimbabwe huru.
Sasa Roma, ameshindwa kusimamia alichotuaminisha kwa muda mrefu kusimamia uzalendo, kupinga ufisadi, uonevu, na maovu mengine ya watawala yaliyopo Tanzania, anawaza kukimbilia Zimbabwe. Picha anayotengeneza ni Zimbabwe kuna amani na utulivu wa kutosha, atafurahia maisha akiwa huko.
Kifupi, ameshindwa tena sana
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kumbe kweli una mwana ayaiyaaaa"Ulitaka kiitikio kiwe ule, "Helenaa hiyo mimba ni ya naniiii "
Kumbe wewe mtoto mdogo, hizo nyimbo wenzako tumeimba kwenye mchakamchaka tukiwa primary, wewe mpaka jeshini ndiko ulikoimba. Halafu acha wivu, mwenzako ndio hivyo kashapaisha ndege wewe endelea kusubiri kama matairi yatachomokakwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
Alitaka kuiwe " wameipenda wenyewe, chaguo letu wenyewe acha tuisome namba eeeeee ccm mbele kwa mbele"Ulitaka kiitikio kiwe ule, "Helenaa hiyo mimba ni ya naniiii "
Jeshi lenyewe siku 180 tu, je waliopiga siku 365 wasemeje?....
-Domhome-