GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Watz ni chapaaa vtuu vyepes wenye akl wachache.romaa amrgunduaaaa tunspendaaa upuuz wachaaa aimbeeee upuuz
Roma Mkali wa zote hizo ulizozitaja,Roma enzi zile mr presdent,pastor na nyingine na huyu wa KIWALANI K yupi unamkubali
Roma enzi zile mr presdent,pastor na nyingine na huyu wa KIWALANI K yupi unamkubali
Roma alitisha enzi za president na ile ya mwanzo aliyo mshirikisha Jos Mtambo! K ni nyimbo ya kikuda
Ukiona msanii anaanza kuimba matusi ujue analazimisha kurudi..tatizo hajasoma alama za nyakati ..kipindi kigumu kama hiki watu hawataki kusikia vitu vya ajabu ajabu ndio maana kina darasa wamepokelewa vizuri tu..sasa yeye mwache atukane ataishia kuisikiliza nyimbo yake kijiweni tu..watu wanataka maisha na muziki sio maisha na matusi...
Akijibu tu nan katukawa Kwny K uniambieRoma kamtukana nani??
Kung'ata kucha nako ni K
Nayo ni k