GE2025 Roma: Wame-freeze akaunti yangu ya kupokea hela

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Baada ya wananchi kujitokeza na kuanza kumchangia Roma hela mara baada ya kutoa wimbo wa "Teremsha Bunduki" kuna watu sijui wamesikia wivu wameamua kufreez hiyo akaunti yake ambayo alikuwa anapokea hiyo michango.

This is petty and cheap in so many levels

 
Chawa leo wako na kazi maalum, just check the comments.
 
Ile mwaka 2017 kule Ununio ndiyo kumemfanya Roma aichukie Tanzania kiasi cha kuitungia nyimbo za kuhamasisha maandamano???
Kabisa unafurahia raia mwenzako kufanyiwa hicho kitendo, siasa chafu za kuonea watu na kuwanyima haki zinaangamiza nchi, Taifa litaendelea kuwepo na kuendelea kama haki kwa kila mtu zitalindwa, soma History utaelewa
 
Chezea ndevu chezea ndevu usichezee dola
 
Kabisa unafurahia raia mwenzako kufanyiwa hicho kitendo, siasa chafu za kuonea watu na kuwanyima haki zinaangamiza nchi, Taifa litaendelea kuwepo na kuendelea kama haki kwa kila mtu zitalindwa, soma History utaelewa
Na wewe unafurahia hawa wanaharakati ambao wako nje ya nchi wanaichafua Tanzania??
 
Mburura mafwala sana,mnamchangia roma huko kitaa akalewe tu na hapo kaingiza za kutosha before account denied.
Mmepigwa kweupe.
 
Na wewe unafurahia hawa wanaharakati ambao wako nje ya nchi wanaichafua Tanzania??
Nchi hujichafua yenyewe, kama hakuna mabaya ya kuya-expose watachafuliwa kwa lipi? Wakisema uongo unajibu kwa kusema ukweli with your proofs na muongo ataaibika.
Freedom of speech or rather freedom of expression ipo hivyo wanaosema ni uhuru wao dawa ni kujibu professionally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…