Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Unaweza kumfundisha mtu wizi mkuu ila yeye akajiongeza na kuwa jambazi kabisa (hapa nikazie..ujambazi wa mali ya umma)..hiki ndo kilitokea kwa hawa mabwana nadhani....ishitoshe Putin alikuwa jasusi mbobezi na ndo alikuwa/ameshikilia mpini
Aisee kwelii, Mr A ni nyoka Mdogo sana kwa Putin!
 
Mkuu naomba UniTag ktk sehemu zinazofuatia
 
Oligarch Hanga vipi sehemu ya 6.... I'm so interested kujua huyu muhuni alivyomeet na Putin...
 
bila shaka ISRAEL ilikuwa na ipo nyuma ya huyu kijana maana jamaa wanapanga mambo ya miongo ijayo leo, kam kwa Trump wamemuingiza lawama anapewa RUSSIA

trump anaingia madarakani soon ANAITAMBUA JERUSALEM nala makao makuu ya ISRAEL.
 
Kumbe huyu mwamba Roman Abramovich ni hatari na mtu mwenye akili nyingi kiasi hichi..ndio maana chama letu la Chelsea tangu aichukue imekua na mafanikio Sana sio Sana tu ni zaidi ya sana.makombe mengi likiwemo la Uefa kumbe akili zote ni zake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nenda kwenye account yake ya Instagram huko iko mbele kidogo, ila nako alianza hii story vizuri kabisa na watu tukaifuatilia vizuri then akatokomea toka mwezi March hadi leo hii ametuachia manyoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…