Daah! umenkumbusha mbal mkuu yan lesnar mwnyw alkubal,hv cena na rollins wako wp ck hz
hakuna maigizo ktk mchezo huu ila sema kuna kipnd wanafanya vitu kuendana jamii usika lkn ktk swala la kupgana uwa hawaigiz ndug yang maana km wangekuw wanaigiza John Cena angekuwepo ulingon jana kwny tlc lkn tang apate majeraha ktk mpambano wake na alberto de rio ajarud ulingon, pia km wangekuw wanaigiza triple h acngepata majeraa kutoka kw roman ktk ile gem ya jana
Huyu jamaa n hatar sn!!!
nina alternative nyingi lakini mara nying sionagi live naoga soon after match or some hours baada ya match
zamani nilikua naangalia chanel E Dstv.
Nikashndwa kulipia
now naangaliaga kwenye app yao live unapakua hyo app signup then mwezi mmmoja wa mwanzo bure
Lakini mara nyingi naangaliaga marudio ambayo hata kama uwe busy vip lazma utapata siku ukayao yaona
kwenye chanel za mbc kwenye kingamuzi chetu cha bhakresa
mbc action huwasa saa 4 usiku kila siku kuanzia j3
Pia kuna jamaa kadhaa fb huwa wanapost video soon baada ya match
Asante sana, nilikua sijui iyo ratiba ya saa 4.
Baada ya action of dowry
Mm uwa nnapata kupitia torrent kila cku moja baada mpambano kw mfano Monday Night Raw uwa n j3 mm na download j4 na Smackdown uwa j5 au alhamis mm uwa na download ijumaa?. lkn mara nying wakiw wanapigania mikanda uwa wanapangw kupgana cku za jumapili?.
Mpaka saa ngp?