Romance in public transport.......inakera!

Abiria wote mafala mmeshindwa kupinga tendo hilo...utamaduni wa wapi huo?

kweli abiria walikosa busara walitakiwa kuwashusha haraka au hata kuwatandika makofi. wanatia najisi safari
 
Kweli lugha ya malkia ni janga la kitaifa. Hicho walichokuwa wanafanya siyo romance.

Hebu tazama fasili za romance kutoka kwenye kamusi za Merriam-Webster na Oxford Advanced Learner's Dictionary...

Romance kama noun


Romance kama verb


Romance kama noun


Sasa walichofanya hao watu siyo romance bana. Walichofanya ni PDA (Public display of affection) au make out (=6 chiefly US, informal : to kiss and touch for a long time in a sexual way
▪ She was making out [=(old-fashioned) necking] with her boyfriend.
Source)
 
Me naona ni vitu vya kawaida tu hapa nchi nilipo na nimeshavizoea, labda tuseme kwetu havipo na wengi humu ndani hamjakaa hayo mazingira, ila sio kwamba ushambaa vipi, au hawana hela ya guest hapana, , ila zaidi jamaa alifanya makosa kumchezee huyo dada mpaka apige kelele, me nikiwa tz nakula mate popote pale coz nimeshazoea na ninaona ni vitu vya kawaida kwangu na sio ushamba, na nimuogope nani??Kama hamjazoea hayo mazingira basi ni nyiinyi ila ni vitu vya kawaida tu. ila sioo kushiikana nakupiga kelele.
 
kweli abiria walikosa busara walitakiwa kuwashusha haraka au hata kuwatandika makofi. wanatia najisi safari

Hahaaa nimecheka sana ila mkuu me naon hapo kosa lao hilo la kushikana kiundani zaidi, vitu vingine ni vya kawaida tu....
 

Itakuwa alikuona wewe kwenye hiyo safari..

Dah.. Mkuu hadi unanawa... We kiboko!
 
Dah.......... hata huyo mdada naye hata kama ndo dot.com ah!!
 
Nawewe ulifanyani? Au ulitazama tu! Au ulilala guest na +ke usiku wa jana so no emotion jombaa! Hahaaaa mngaliongeza sauti ya radio dereva asisikie.
 
kweli abiria walikosa busara walitakiwa kuwashusha haraka au hata kuwatandika makofi. wanatia najisi safari
Ilikuwa ngumu kwa kweli, mawazoni mwangu nlikuwa nawaza nilianzishe, kizuizi kilikuwa ikitokea nnakosa support safari nzima ingekuwa mbaya kwangu. mimi ni mtetezi mzuri wa watoto na wanafunzi waonewapo kwenye daladala, cha ajabu in due process sipatagi support yeyote zaidi ya kuangaliwa tu, huwezi jua labda hapo napo ningeangaliwa tu.
 
huo ni ulimbukeni,tena c nidhamu. Tendo la kufanya mapz linahtaj ucri mkubwa c kufanya tu km mbwa,mlipaswa kumueleza conductor na wangeshushwa.Yn nimeborekaje!Nonsense
 
mgewapigisha magoti halafu wapige nyeto hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…