Romance

Mnyama Hatari

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
335
Reaction score
82
Kule kwenye siasa watu wamewazodoa sana baadhi ya wale wagombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa kutojua vizuri Kiingereza.

Wale ambao wameonekana kujieleza vizuri kwa Kiingereza wengine wamewaona kuwa ni "vichwa" (wakimaanisha wana akili).

Sasa humu MMU kuna baadhi ya watu huwa wanapenda sana kutumia neno "romance" wakimaanisha yale matendo ambayo wapenzi wawili hufanya kabla ya kujamiiana.

Matendo hayo huhusisha busu la kunyonyana ndimi, kupapasana sehemu za siri, kunyonyana chuchu na kadhalika. Hii yote ni katika kuandaana ili muweze kufaidi vizuri tendo hilo la kujamiiana.

Sasa mimi huwa sielewi kwa nini neno "romance" hutumiwa kumaanisha hayo. Mimi sidhani kama "romance" ni neno sahihi kulitumia kuelezea hayo matendo.

Neno sahihi kwa uelewa wangu ni "foreplay". Hata "make out" ni sahihi pia.

Sasa neno "romance" wana MMU lina maana gani?
 
Romance not necessary foreplay....unaweza ukafanya romance na sio foreplay. Hayo matendo uliyosema ukiwa utayafanya and ending up with sex then its foreplay, yani foreplay ni kabla ya huo mchezo wenyewe. Romance inaweza kuwa hata outdoor activities, your actions, caring kwa mpenzi wako and you can be referred as ROMANTIC person, the person that knows hows how to love.
 

Hiyo definition ya romance umeitoa wapi? Unaweza kunipa mamlaka ya ulikoitoa?
 
People have got life...hawalali humu, wengine wako mbioni saahivi kukimbilia daladala za gongo la mboto....wasubiri kesho wakija kazini

Madhali wewe upo basi tuendelee na mjadala. Mimi nataka kuelewa tu.
 
Kule kwenye siasa watu wamewazodoa sana baadhi ya wale wagombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa kutojua vizuri Kiingereza.

Wale ambao wameonekana kujieleza vizuri kwa Kiingereza wengine wamewaona kuwa ni "vichwa" (wakimaanisha wana akili).

Waafrika lazima tujikomboe na huu unyonge, english ni lugha ya watu kama watu hawajui si wazungumze kila mtu lugha anayofahamu, I mean international recognised language na sio kisukuma wala kihaya. Kwenye umoja wa mataifa au EU block wanafanya hivyo na wako swafi tu....kwanini sisi
 

Tatizo sisi ni washobokaji. Sasa usipoongea Kiingereza nani atajua wewe ni msomi? Nani atajua wewe ni "kichwa"?

Kiingereza bongo ni dili. Kuna vijana wamejipatia mademu kutokakana na Kiingereza.

Jaribu kutema yai la ukweli humu uone jinsi ambavyo chati yako itapanda. Si mchezo.
 

Huo ni ujinga ulioje.....sikujua kama english dili na yai la ukweli ni nini?
 
Acha uvivu...google was create for you

Haya nimefuata ushauri wako na hiki ndicho nilichopata.

Romance kama nomino ni:


Romance kama kitenzi ni:


Sasa mbona kama ulichoandika mwanzo kama vile hakiendani na hizo fasili. Au ni uelewa wangu ndiyo mbaya?
 
....ulivyoanza na mambo ya bunge nkajua daah.....
Kumbe....!!??
 
Mkuu romance can be anything so long as its and excitement associated with love..

Sasa foreplay ni yale yote yanayofanyika kabla ya mchezo wenyewe (kwahio kama mwisho wa siku hakuna play, that is not foreplay) na romance inaweza ikawa yote hayo uliyoyasema pia, lakini kuongezea labda inaweza kuwa romantic dinner, movies, kukaa tu na kuangaliana n.k.

Kwahio wanaosema hio foreplay ni romance hawajakosea so long as hiyo foreplay ni excitement associated with love.., ingawa romance sio lazima iwe foreplay kama immediately after hakuna play (and I mean immediately after) sio um-kiss mtu saa tatu alafu saa nane mcheze uite ile kiss was foreplay
 

Hmmm...really? Are you sure of what you are talking about?
 
...kwahyo ww hujui maana ya romance..?

Sijui kwa kweli. Au niseme kwa kibongo bongo sijui maana jinsi wabongo wanavyolitumiaga hilo neno...hmmmm. Haya...labda ni mimi ambaye sielewi. Si unajua tena wengine hatukwenda A levo wala chuo kikuu.
 
Kwa ufupi romance is the feeling of being in love,it includes emotions na kila ki2 kinachofanywa kwenye mapenzi kuleta excitement na kufanya mapenzi yawe na msisimko zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…