Romance

Dah, hata mimi sijuagi tofauti yake kwa kweli, ngoja nifuatilie majibu ya wadau humu
 
Kwa ufupi romance is the feeling of being in love,it includes emotions na kila ki2 kinachofanywa kwenye mapenzi kuleta excitement na kufanya mapenzi yawe na msisimko zaidi..

Sasa mtu akisema "jana tuli-romance" unaona hiyo ni sawa?

Umeshawahi wapi kuwasikia wenye lugha wakisema "yesterday me and my girlfriend romanced on the couch", kwa mfano?
 
acha nipite, mie kimakonde chetu tu kinanishinda sembuse kiinglish
 
Dah, hata mimi sijuagi tofauti yake kwa kweli, ngoja nifuatilie majibu ya wadau humu

Watu hulitumia visivyo hilo neno kama "lucky" na "professional".

Kwa mfano humu humu wapo watu ambao huandika "good lucky" wakimaanisha 'good luck'. Na wengine huandika, kwa mfano, "yule jamaa professional" yake ni mwanasheria.

Anyway, maybe it's just me with my persnickety and anal-retentive self that cares. Oooh well....
 
We mnyama acha michosho, unauliza kitu unachokijua? au ulitaka wana JF wajue maana ya Romance?
 
....mtoa mada kabila gani wewe....!? Biiishiii....
 
Hmmm...really? Are you sure of what you are talking about?
Mkuu if romance is excitement associated with love..., na foreplay is anything you do (to prepare yourself) before sex.., therefore why can't some actions (romantic actions) if done just before penetration be romance (example massage the whole body with a tongue..)

All dogs have four legs, Simba is a dog.., therefore Simba has four legs (that's logic) although every four legged animal is not a dog
 
So can you say that 'you and your girlfriend romanced on the couch last night'?

Tell that to any native English speaker and ask them if it makes sense!!!
 
Wakazi gani hao wasomi? Mapenzi kwa yeyote pasipo tabaka lolote. Mimi najua Romance hayo ma Foreplay unayajua wewe!

Ama kweli ndo maana good luck mnasema good lucky na profession mnasema professional.
 
Sasa mtu akisema "jana tuli-romance" unaona hiyo ni sawa?

Umeshawahi wapi kuwasikia wenye lugha wakisema "yesterday me and my girlfriend romanced on the couch", kwa mfano?

m2 huwezi kusema hivyo kwa sababu romance ni feelings. Mtu anaweza kusema "uhusiano wetu hauna romance"akimaanisha uhusiano wao umekosa feelings na excitements za mapenzi yaani uhusiano umedoda lol..
 
m2 huwezi kusema hivyo kwa sababu romance ni feelings. Mtu anaweza kusema "uhusiano wetu hauna romance"akimaanisha uhusiano wao umekosa feelings na excitements za mapenzi yaani uhusiano umedoda lol..

Kula gwala Mama Isaac.

Unanidai lanchi popote pale utakapochagua ila usije na baba Isaac, sawa? Lol
 
Matumizi ya romance ni very simple kama walivyojieleza hapo juu it includes feeelings and excitement. Wabongo wanavyotumia sivyo.....
 
Matumizi ya romance ni very simple kama walivyojieleza hapo juu it includes feeelings and excitement. Wabongo wanavyotumia sivyo.....

Kumbe na wewe umegundua jinsi ambavyo wabongo huharibu matumizi ya hilo neno....safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…