Navyofahamu ROMANCE ni MAHABA. Means matendo anayokufanyia mwenzako yanayokufanya ujisikie vizuri. Mfano kama wewe ni mwanamke mwanaume anakuwa ROMANTIC pale anapokufanyia mambo like kubembeleza, kukufungulia mlango wa gari, kukuvutia kiti, kukukiss, the way anazungumza na wewe, anakupikia sometimes, massage, kukuogesha, the waya ana make love 2 u, na mambo mengine mengi kwa ajili yako ambayo yatakufanya ujihisi kama mwanamke!