Rombo kama Loliondo!


umenena vyema mpendwa.

Mungu akubariki na kukuzidishia ujasiri wa kunena zaidi na zaidi na ile hekima itokayo kwake. ni kweli, neno la Mungu pekee ndilo litakalotuweka huru.

Glory to God
 
Jamani mbona mnamnanga nabii wa watu mbona akina mwingira na manabii wengne wanaodai kufufua wafu na kuponya mbona hamuwasemi? Au kwa kuwa wao hawatumii mitishamba? Au ndo 2seme huyu kijana amekuja mda mbaya mda ambao babu tayari ameshajitokeza?
 
mmmmhhhhhhhhh! Naona kama vile Kina babu watakuwa wengi!
 
mmmmhhhhhhhhh! Naona kama vile Kina babu watakuwa wengi!

na bado, siku za mwisho hizi, kazi ipo!!

kumbukeni imeandikwa, " yeye avumiliaye mpaka mwisho ndiye atakayeokoka"

Glory to God
 
na bado, siku za mwisho hizi, kazi ipo!!

kumbukeni imeandikwa, " yeye avumiliaye mpaka mwisho ndiye atakayeokoka"

Glory to God

Samahani Miss Judith!
Mbona huu msemo wa "siku za mwisho" upo sana Tanzania tu?
Mbona nchi zingine watu wanaendelea kula raha zao tu.
Labda tatizo si "siku za mwisho" ila ni ubunifu wa watu katika kupambana na umasikini uliokithiri.
I stand to be corrected.
 
hata deci ilikuwa na nguvu na sapoti ya wananchi hivyohivyo...lakini mwishowake ni kilio..
 
kila jambo lina mwanzo na mwisho wake, walikuwepo na watakuja na kupita! kila mmoja atapimwa kwa matunda yake. Maisha ni haya haya. Uamuzi ni wako kwenda Loliondo kwa Babu au Rombo kwa Dogo! :target:
 
tatizo ni ujinga wetu na maradhi yanayotusumbua.kimsingi hakuna mtu asiyependa kuishi ndio maana mambo yapo hivi.yote tumuachie mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…