Romy Jones azua maswali idadi ya watoto wa Diamond

Joined
Jul 2, 2019
Posts
32
Reaction score
43
Romy Jones, binamu wa mwanamuziki Diamond Platnumz amezua maswali mtandaoni baada ya kusema ndugu yake huyo ana watoto watano badala ya wanne wanaotambulika na maelfu ya mashabiki zake jambo ambalo limezua gumzo katika mitandao ya kijamii.

Alitoa kauli hiyo baada ya mpenzi wa mwanamuziki huyo, Tanasha Donna kujifungua mtoto wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…